Udom boom latema...Hooray!!

Mwaka wa pili na kuendelea bado, na wale mwaka wa 1 college ya nat and math sciences hawajapata.
 
college of earth science ndio kwaanza tumesign jana, majina yalichelewa eti kufika. College ya health and allied science bado pia...
 
Hongereni wana-kata mungu awape hekima kwenye matumizi ya pesa
 
Pole pole wadau isije ikawa wiki ijayo siku kama ya leo mkono shavuni mlo wa jioni ukaanza kuwindwa kwa wale wagumu wapikao dagaa kwa ugal mfululizo.
 
Back
Top Bottom