Issa taarifa hizo umetoa wapi??
ni kweli boom limeingia lakini sio kama ulivyo elezea humanity wamepata toka Juma nne, social Juma tano, Informatics sifahamu kama wamepewa, education wamepewa alhamisi ijumaa sizani kama kunawatu walipewa pesa, na kuhusu Earth science bado hatujapewa mpaka sasa labda wiki ijayo,
Nikipiga picha ya pale 84, Kilimani kote naona kama hapatoshi na hivi waheshimiwa wetu wameshaanza kutinga huko basi watajazia tu kwenye kibaba pale palipopungua kwa dada zetu. Kunywa, kula, kunya ila usifanye fujo.
humanity wamepewa toka j3 last week, social wamepewa j5, na education wamepewa alhamis wengine sifahamu wamepewa au la ila CoES bado kabisa, but nmeongea na waziri wa Mikopo CoES kasema leo asubuhi wamepeleka pay banks so kilicho baki ni kuseed pay kene accounts, Waziri wenu anasemaje kwani?