Udom application ya chuo nabadilishaje machaguo ya course?

chamng'asi

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2012
Posts
215
Reaction score
399
Nilifanya application nikasubmit, lakini nimeshawishika kufanya marekebisho ya course. Ni kama hawajaweka hiyo access au ni mimi tehama inanipiga chenga? Naomba msaada...
 
Ukishasubmit umesubmit auwezi badili machaguo omba usichaguliwe round hii hili ubadili round ya pili
 
Nilifanya application nikasubmit, lakini nimeshawishika kufanya marekebisho ya course. Ni kama hawajaweka hiyo access au ni mimi tehama inanipiga chenga? Naomba msaada...
Wasiliana nao watakusaidia kwenye mfumo watakuweka kwenye incomplite then it ligi in kwenye profile yako baada kubadili hakikisha unafanya submitt vignevyo aplication yako itabaki incomplite
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…