UDOM Admission Letters: Kipi kinaendelea

Masiya

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
7,602
Reaction score
7,341
Kwenye tangazo lao la Admission into non-degree programmes (First Round) la Jumatatu tarehe 2 September 2019 UDOM waliandika “All admitted students into different study programmes will receive their admission letters through their profiles in the UDOM admission system at http://application.udom.ac.tz” Leo ni tarehe 13, September 2019 sijaweza kuona hiyo barua. Je kuna anae elewa nini kinaendelea huko? Kuna aliyekwisha pata hiyo joining letter? Nitashukuru feedback.
 
Tulia zitatumwaa mapema sana sahiv kwa udom kuwatumia na kuna wezako hua wanaenda kuzichukulia chuo kabisa hata kweny profile unaweza usitumiwee kama tu ilivokua system ya ku apply code mwingine anatumiwa mwingine hatumiwii..umepeata chuo jiandae na shulee tu
 
Maandalizi ya shule ni pamoja na kutimiza yale yaliyomo kwenye admission letter (joining instructions). Kuchelewa kwa barua hizo huenda zikatuweka mahali pagumu. Any way nitasubiri kwa muda.
 
Admission letter ni muhimu kupatikana mapema..hivi Udom kama mtu kapata single selection anachokuwa anasubiria si admission letter tu mkuu??
 
Baadhi wanazitumia ili kuombea ruhusa makazini za kwenda masomoni.hivyo kuna umuhimu wa kupatikana mapema.
 
Admission letter ni muhimu kupatikana mapema..hivi Udom kama mtu kapata single selection anachokuwa anasubiria si admission letter tu mkuu??
Sawa, single selection haina confirmation,unasubiri admission letter tu.
 
admission letters zao huwa specific kwa kila mtu sio general za kutoa copy , huwa zinakua generated huja na details tofauti kwa kila mwanafunzi mfano kila form huwa na control namba tofauti ,jina tofauti na course huwa imejazwa kabisa so inachukua muda kidogo wavumilieni tu.
 
Mzgo tyr ingia kwa acnt yko
IMG-20190916-WA0015.jpeg
 
admission letters huwa zinategemea round gani ya selection ulikuwa , wale wa round ya kwanza huanza kupata admission letters mapema kuliko wa round ya pili na ya tatu, kuweni watulivu
 
admission letters zao huwa specific kwa kila mtu sio general za kutoa copy , huwa zinakua generated huja na details tofauti kwa kila mwanafunzi mfano kila form huwa na control namba tofauti ,jina tofauti na course huwa imejazwa kabisa so inachukua muda kidogo wavumilieni tu.
admission letters huwa zinategemea round gani ya selection ulikuwa , wale wa round ya kwanza huanza kupata admission letters mapema kuliko wa round ya pili na ya tatu, kuweni watulivu
Mkuu kuna selections zilitoka September 2, 2019 hadi leo October 7, 2019 hamna admission letters au ndio tunatakiwa wote tuandamane kwenda UDOM? Kuna aliyekwenda nasikia wamempa sasa sie tulioko mbali tufanyeje?
 
Hatimaye leo nimepata admission letters (certificate and diploma) zimewekwa kwenye Dashboard. Yaani ilikuwa safari ya UDOM jumanne asubuhi (15/10/2019).
 
Back
Top Bottom