Chogo matata
Member
- Mar 21, 2011
- 71
- 13
Chadema tangazeni rasmi kwamba bakwata wilaya ni kitengo cha propaganda cha ccm.Msalijili wa vyama uko wapi? Tume ya uchaguzi mko wapi?
kila siku ndugu yangu tazidi nakuambia jf kwa ni sehemu ya mapambano dhidi ya uislam. Hivi hayo maneno yako unayosema waislam ambao wapo cdm hivi watajisikiaje?
Nyie ndio mnamualibia dr slaa pamoja cdm kwa kauli zenu za kashfa na kejeli dhidi ya dini nyingine, wewe ukiwa against na muislam mmoja unatukana waislam wote, mkuu mkandara kaishawaeleza sana kuhusu hizo tabia
kumbe mnajua waislam ni wachache sasa wasiwasi wanini hata nyie si mulimchagua slaa na mlijua hatashinda si mumesema wakristo mko wengi nyie mulianza sisi tunamalizia subirini maaskofu wawapigie debe kama sakata la madiwani waislam tunapiga kura kwa malengo hatakama tutakae mchagua hatashinda lengo ni kumridhisha mungu sio makengeza mbowe
Taarifa ya habari ya ITV saa mbili imeonyesha tamko Rasmi la Bakwata kuwataka waislam wa Igunga wasimpigie kura mgombea wa chadema.Nimepata mshtuko mkubwa na kuona taifa letu sasa linaangamia.Hivi ni halali kwa mujibu wa sheria za uchaguzi dini kutangaza rasmi chama fulani kisipigiwe kura? Watu wote wapenda haki demokrasia na amani walaani tamko hili haramu.
Waislam mbona wachache sana! Hawana effect kwanza kura zao ni za mapepo.
Waislamu mnatakiwa muwe na umoja wa nyuki na sio umoja wa inzi.
Ukilipiga jiwe kundi la inzi kila mmoja ataenda upande wake, hali ni tofauti kwa nyuki ambapo kama ukiwapiga jiwe wote watamtafuta adui na kumtia adabu hali hii ndiyo ipo kwa wakristo amabapo wakisimamia kitu ni mpaka kieleweke tena wanakuja na hoja zenye mashiko. lakini kwa waislamu hali ni tofauti, maulamaa wakisema a dhidi ya serikali, bakwta wanakuja na b matokeo yake ndo kama hivyo tena, wamepigwa mabao na magamba hata kwenye hoja simple kama ya Mahakama ya kadhi. Amkeni, jitengeni na serikali, endesheni mambo yenu kidini zaidi kuliko kisiasa
Kwakweli bila kumung'unya maneno (na hii itawauma wengi) kama ningepewa nafasi ya kuondoa kitu katika uso wa dunia na kisirudi tena NINGEUONDOA na kufutilia mbali UISLAM, hakuna nchi ambayo ina vita duniani ikawa ni ya kikristo, ukisikia vita visivyo koma basi kuna uislam, sasa sijui mungu wao huyo ni mungu gani! anayefurahia watu wafe, watoto wateseke na njaa, mungu asiyependa amani. Angalia SOMALIA, SUDANI, IRAK, IRAN, AFGHANSTAN, na kwingine kwingi.
Kuna nchi za kikristo kama PHILIPINES, AGENTINA zina amani kwasababu wa kristo wana mungu wa amani, mungu anayefundisha samehe saba mara sabini, mungu asiyetaka kisasi.
Maneno niliyosema yanaudhi ila ni kioo kwako wewe unayedhani umesimama kumbe umeanguka.
Dunia nzima tafuta gaidi, ama magaidi maarufu, hutakuta mkristo, hamran kijana wa zanzibar hapa, alishiriki kuua ndugu zetu pale ubalozi wa marekani, ni mwisilam angelikuwa ni mkiristo wangeliandamana hata wakavuka bahari kutulaani. kisa ni mwislamu haa kama hawajui.
watoto na damu inamwagika katika nchi nyingi chini ya mwamvuli wa DINI, IPI? UISLAM, nawambieni ombeni isiwepo pepo! na mungu wenu wa machafuko huyo!
WAISLAMU HAWANA TOFAUTI NI MCHUNGAJI YULE MAARUFU AKIMBILIAYE MAHAKAMANI KILA KUKICHA NA HAKUNA ALICHOVUNA ZAIDI YA SHIBE YA TUMBO LAKE TOKA ALIPOANZA HARAKATI.
UKWELI HUMWEKA MTU HURU, SIWEZI KUWA ADUI KWAKUSEMA UKWELI, IKIKUUMA IMEKUINGIA NATUMAI UTAPONA.
Chokochoko zote hizi bila shaka ni kwa sababu ya yule DC. Mimi nauliza, hivi yule DC alivaa mtandio au Hijab, maana nikimuangalia naona kama ile ilikuwa ni mtandio?
kumbe mnajua waislam ni wachache sasa wasiwasi wanini hata nyie si mulimchagua slaa na mlijua hatashinda si mumesema wakristo mko wengi nyie mulianza sisi tunamalizia subirini maaskofu wawapigie debe kama sakata la madiwani waislam tunapiga kura kwa malengo hatakama tutakae mchagua hatashinda lengo ni kumridhisha mungu sio makengeza mbowe
taratibu bana!!
sisi tusio na misikiti na makanisa tutakutania wapi?
Taarifa ya habari ya ITV saa mbili imeonyesha tamko Rasmi la Bakwata kuwataka waislam wa Igunga wasimpigie kura mgombea wa chadema.Nimepata mshtuko mkubwa na kuona taifa letu sasa linaangamia.Hivi ni halali kwa mujibu wa sheria za uchaguzi dini kutangaza rasmi chama fulani kisipigiwe kura? Watu wote wapenda haki demokrasia na amani walaani tamko hili haramu.
Hiyo ndo picha halisi ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.Hapa namaanisha kuwa kura zitapigwa kidini zaidi kuliko kuangalia ubora wa kiongozi.Waislamu hapa wametafuta kisingizio cha kijinga ili kuhalalisha udini wao.Wanasema cdm ni chama cha kikristo hivyo waislamu wasikichague.Hapa wanamaanisha kuwa CCM na CUF ni vyama vya kiislamu.Hapa nitamshangaa mkristo yeyote atakayechagua chama cha kiislamu kwani tayari wameshaonyesha kuwa hawahitaji kura za makafir.
Uchaguzi mkuu ujao inabidi kampeni zianze sasa hivi na watu wote waambiwe kuwa kila mtu achague mgombea wa dini yake.
Kuja na hoja nzito ni pale unapokuwa against gvt?.Ati waislam hawaji na hoja nzito.Hii ni dhihaka kwa waislam na kuendeleza udini.Waislam wamedhalauliwa sana na sasa wamechoka wameamua kuchukua hatua kwa wote wanaowadharau wanaanza na CDM kukifuta ktk ramani ya siasa za tz.ati waislam hawajasoma huu nao ni udini mbona tunao maprofa kibao na madokta?. CDM wasipochukua hatua za kuomba radhi waislam au kwenda kwa viongoz wa kiislam wakayamaliza kistaarabu kijue kinajenga picha mbaya kwa watz kuwa hakina uwezo wa kuongoza na kuunganisha watu ktk jamii.
Taarifa ya habari ya ITV saa mbili imeonyesha tamko Rasmi la Bakwata kuwataka waislam wa Igunga wasimpigie kura mgombea wa chadema.Nimepata mshtuko mkubwa na kuona taifa letu sasa linaangamia.Hivi ni halali kwa mujibu wa sheria za uchaguzi dini kutangaza rasmi chama fulani kisipigiwe kura? Watu wote wapenda haki demokrasia na amani walaani tamko hili haramu.
mlianza tunamaliza. Kama cuf mlikkita cha kiislam. Na sisi tunasema chadema ni chenu