Ally Kombo
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 11,429
- 2,653
'' Na Mwenyezi Mungu anawajua vyema maadui zenu. Na Mwenyezi Mungu anatosha kuwa Mlinzi, na Mwenyezi Mungu anatosha kuwa Msaidizi'' Quran An Nisaa 45.Aisse!! Ndio maana Gadafi alipigwa na Nato moja ya vi2 vilivyomsababishia ni sera yake ya kutaka kusambaza uislam Duniani ndio maana nchi nyingi za afrika amejenga misikiti ikiwemo Tanzania, Uganda etc...So kama Tanzania nayo...............Bac ipo cku................
'' Na Mwenyezi Mungu anawajua vyema maadui zenu. Na Mwenyezi Mungu anatosha kuwa Mlinzi, na Mwenyezi Mungu anatosha kuwa Msaidizi'' Quran An Nisaa 45.
unapoteza muda kuandika aya tukufu humu watu wamedata ful Udini watakutukania kitabu chetu bure better waache tu kwani hata lengo la kuumbwa hawalijui
hii aya umetoa kitabu gani? kama mungu ndie mlinzi basi tusingeona wanafanya ibada huku AK 47 zikiwa migongoni!
hii aya umetoa kitabu gani? kama mungu ndie mlinzi basi tusingeona wanafanya ibada huku AK 47 zikiwa migongoni!
kweli we msomi we nenda kasome hao wasikukatishe tamaa hata hawaijui udom na ukiangalia weng wanapinga kila jambo lililofanywa na utawala ulio madarakan lakin ni mahali pazur pa kusomea na wanajitahidi kuboresha kila siku..matatizo yapo vyuo vyote vya Tz lakin macho wanapeleka udom huon kuna kitu special hapo..2wasiliane just pm me
we ndo sufuri kwelikule kwetu ungeitwa kiraza inaa maana wanaoandika hapa wanabuni, tunaoandika happa ni wasomi kutoka amaa tupo chuo hiko, bora shulle ya kata kuliko chuo cha kata, kile si chuo ladba wangesema ni bohari ya mahindi ningekubali, najuta degree yangu ya kwanza kuichukulia UDOM,
GOD KILL AND CURSE THIS INSTITUTION

Mi na akili zangu nikasome UDOM chuo cha ki upupu.ama kweli we mchuzi eti unapinga anachosema mkuu wako,uongo ni uongo no matter who say it sasa we umekulia familia za kidictator huko mara unaamin kila analosema mkubwa dah nyie vilaza mnabebwa na hili jina la GT..siwezi kutumiwa mimi kueneza ujinga sio mjinga mim ila na mashaka na wewe unapiga kelele af huna solution ya Tatizo kaa kimya..hauna upatriot wowote kama ni kulalama tu na usomi wako wa kujua kusoma vitin.
Naomba kuuliza jamani ni kweli kila block(bweni) hapo UDOMU kuna chumba special kwa kusalia waislam?Tujurishane.
Mi na akili zangu nikasome UDOM chuo cha ki upupu.
We watetee,wing c hoja uchache ndo chachu,chachu ya ubaguz ndo mbaya.
Mi na akili zangu nikasome UDOM chuo cha ki upupu.
We watetee,wing c hoja uchache ndo chachu,chachu ya ubaguz ndo mbaya.
uongo mkubwa na wakijinga pale wakristo ni weng kuliko waislam na wakristo wana madhehebu meng na kila dheheb lina block lake waislam wana chumba kimoja tu.