Udini ukabila waivuruga CCM Iringa

Udini ukabila waivuruga CCM Iringa

Vyasaka acheni wivu wenu wa kijinga.

Mchagga atabaki kuwa Mchagga tu. Nyie semen masemayo, kamwe hatutawaabudu vyasaka, maana toka enzi za mababu hatujawahi kuwaabudu vyasaka japo mna madaraka. Sisi tupo safi kiuchumi, na hilo ndilo msingi. Hayo mengine semeni tuu maana mna midomo mabeseni ya kusema. Talk talk vyasaka
Aikamae mbonyi tsapfo'

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanasemwa vibaya kwa sababu zipi? mwenye sifa lazima apewe nafasi nyie endeleeni kukaa kwenye Majeshi na forms lever faillier zenu wenzenu wako kila kona ya tanzania wametawala kila nyanza zote sasa sijui wewe ukiendele kulialia itakusaidia nini na chuki binafsi huku mwenzako anasonga mbele yaani mmeshikwa pabaya sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
mi binafsi sio mchaga, ila nataka kuoa mtoto wa kichaga,, sitaki hawa wanawake Wa pwani wapenda mipasho na kushindana kuvaa,
 
Wezi sana hao wachaga sio watu wakuwapa madaraka hata uenyekiti wa mtaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndie mpumbavu,maana kila kukicha mnasemwa vibaya,kwanini msibadilike jamii iwaamini.
Wachaga badilikeni mbona kila kabila linawaogopa au kuwasema vibaya,mbona makabila mengine hayasemwi,mfano sisi wakurya
kwan mkitusema vibaya itatuathiri Nini ?
sisi tunaendelea kusonga mbele kiuchumi, kimaendeleo,kielimu nk
mkoa wa Kilimanjaro ni wa 2 kwa watu wake kuishi makazi bora ya kisasa na gdp kubwa kwa mtu mmoja mmoja
ukija kwenye elimu ndio usiseme,kiuchumi ndio balaa Kuna sehemu tz utamkosa mchaga?
ma biashara ndio haswaaa
Sasa kwa mafanikio hayo sitegemei kukosa majungu kutoka kwa vilaza kama ninyi
 
Endelea kucheza bao na kukaa kijiweni. Kwani madaraka ni chakula useme tukiyakosa tunakufa??

Silaha pesa. Madaraka mbwembwe tu na hata ukiwa na madaraka huna maamuzi kama huna pesa
Asante kwa kuyapasha ukweli haya mazwazwa yenye wivu na sisi
 
kwan mkitusema vibaya itatuathiri Nini ?
sisi tunaendelea kusonga mbele kiuchumi, kimaendeleo,kielimu nk
mkoa wa Kilimanjaro ni wa 2 kwa watu wake kuishi makazi bora ya kisasa na gdp kubwa kwa mtu mmoja mmoja
ukija kwenye elimu ndio usiseme,kiuchumi ndio balaa Kuna sehemu tz utamkosa mchaga?
ma biashara ndio haswaaa
Sasa kwa mafanikio hayo sitegemei kukosa majungu kutoka kwa vilaza kama ninyi
Ok ila muache uwizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hizi siasa zisipelekee mkawa maadui kiasi hicho... karne hii hatupaswi kuulizana makabila wala dini yako... kila mtu ana haki ya kugombea na kuwa na wazifa ktk eneo lolote la nchi yetu bila kujali ana tokea wapi ktk nchi hii na ni kabila gani... muhimu ni mtanzania na hana shida ya Jinai katik historia ya maisha yake.

Leo wapo wachaga wapare ni wabunge DSM... mf. H. Mdee wapo watu kutoka msoma wana wazifa DSM mf. Mwita na Jacob na wengine wengi...

Wapo wakina Hussein Mwinyi walikuwa wabunge Mkuranga... hivyo tusi weke hili jambo kuwa Gumu... Yupo kuna dada viti maalum tokea mkoa wa Arusha (CCM/Chadema) lakini kwao ni Mara

Haya mambo yasifikie huko, mna paswa kuchagua kiongozi mnae hisi ana faha kwa maendeleo ya eneo lenu na taifa kwa ujumla...
 
Back
Top Bottom