Duh! hii haitatuacha salama...Kwa sasa hivi kwenye taasisi za umma ratio ni 100:3 kwa hiyo inabidi uzoee tu hamna namna!
Na kwenye BLM (Executive Cabinet) je??Kwa sasa hivi kwenye taasisi za umma ratio ni 100:3 kwa hiyo inabidi uzoee tu hamna namna!
Wanavyojua kulalamika hivyo mkuu!huwa husikii?Hivi no kwa nn waislam wakiteulia hats WA 5 tu kwenye tasisi za kiserkali alafu yule mkuu WA ile tasisi awe muislam. Malalamiko huwa in mdini sana
Kabisa nchi hii kama tunataka usawa kabisa mbona waislam wapo nyuma sana kiajira ?
Tukianzia kwenye office za wizara. Tasisi Kubwa Kubwa za srekali utaona waislam in wachache sana. Lakini huezi on a waislam wanalalamika sana kama Hawa ndugu zetu wacristo
Mh. Rais Magufuli namuomba atembelee Mamlaka ya Usimamizi wa shughuli za Bima kwa kiingereza Tanzania Insurance Regulatory Authority aone mkurugenzi mkuu aliyemteua anavyofanza teuzi ndani ya ofisi kwa misingi ya kidini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku nyingine unatakiwa kuanza kuangalia kwanza hizo teuzi zake yy huo magufuli hlf ndio utapata jibu...Mh. Rais Magufuli namuomba atembelee Mamlaka ya Usimamizi wa shughuli za Bima kwa kiingereza Tanzania Insurance Regulatory Authority aone mkurugenzi mkuu aliyemteua anavyofanza teuzi ndani ya ofisi kwa misingi ya kidini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo unaeshitaki kwake nae pia anafanya teuzi kwa kupendelea dini yakeMh. Rais Magufuli namuomba atembelee Mamlaka ya Usimamizi wa shughuli za Bima kwa kiingereza Tanzania Insurance Regulatory Authority aone mkurugenzi mkuu aliyemteua anavyofanza teuzi ndani ya ofisi kwa misingi ya kidini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakristo lazima walalamike kwa sababu kila shule uendako ukiacha za kiislamu, waliotawala ni wakristo. Utasubiri sana ukibisha hilo. Huwa wakati mwingine natamani tutangaze na elimu za wahusika kwa kila ngazi utashangaa kila ngazi wengi wa waislamu ni wale ambao hawakuwa kupata hata namba ya 10 darasani.Hivi no kwa nn waislam wakiteulia hats WA 5 tu kwenye tasisi za kiserkali alafu yule mkuu WA ile tasisi awe muislam. Malalamiko huwa in mdini sana
Kabisa nchi hii kama tunataka usawa kabisa mbona waislam wapo nyuma sana kiajira ?
Tukianzia kwenye office za wizara. Tasisi Kubwa Kubwa za srekali utaona waislam in wachache sana. Lakini huezi on a waislam wanalalamika sana kama Hawa ndugu zetu wacristo
Inachukua dakika 3 tu kumfundisha mtoto ubaguzi.si ajabu umepanga kwenye nyumba ya muislam