Poleni na msukomsuko wa janga la covid 19.
Inawezekana nitakayoandika ni marudio lakini naona yanaweza kusaidia vita hii ya kudhibiti virusi vya corona.
Serikali imekataa lockdown lakini tuwe wakweli kuna baadhi ya shughuli zinazofanywa na wananchi ni hatari kwa afya ya hao wafanyakazi na wateja wao. Hivyo nashauri tena serikali ifunge hizo biashara/kazi kwa kipindi hiki kuweza saidia udhibiti wa hivi virusi.
Ntaeleza mifano ya hizo biashara/Nazi
Biashara ya Baa hapa na vilabu vya pombe za kienyeji.
Biashara za saluni zote za like na kiume.
Biashara za massage
Nyumba za wageni nk
Naamini hii kwa kiasi Fulani itasaidia