Udhalilishaji huu utaendelea mpaka lini?

Udhalilishaji huu utaendelea mpaka lini?

Wewe huna akili. Hio post nimemjibu aliesema yeye akiingia guest house short time haandiki jina la kweli. Mwezi mtukufu huu ninachoweza kukwambia ni hicho tu.
Hujamcote haina haja ya kutukana mkuu
 
Kumbe mnajua kosa lenu ila hamtaki tu kukubali?

Ingekuwa waliwakamata wote na waliojiandikisha kwenye daftari hapo ningekufikiria, otherwise no way..Muwe mnafata utaratibu.

Usisingizie vielelezo..hata aliyejilipua huko Manchester alikuwa na vielelezo vingi kuliko vyako..na hata hao wanaofanya mauaji huko pwani wanavielelezo.
Unataka cheo hakipatikani kwa staili hiyo
 
Back
Top Bottom