Udhaifu wa wanawake na wanaume

Udhaifu wa wanawake na wanaume

bora ata umemuacha akenda , pengine ungeendelea nae leo ungeleta story tofauti
 
Umesema alikuachia cm akaenda kuongea na konda ili amshushe Philips ; ilikuwa je tena ashukie sanawali?

Kuweni makini jamani mnapotunga hadithi

Nilimsikia akisema phillips ila cha kushangaza tulienda hadi sanawari so cjui waliongea nini zaidi na konda. Hii co habari ya kutunga ni ya february mwaka huu na nimeiweka hapa ili muone jinsi tamaa zinavyoweza kubadilisha msimamo wa mtu
 
sanawali alifikaje mkuu au alijisahau? maana umesema ilikua ashuke philips

Nilimssikia kabisa akisema philips cha ajabu gari lilienda hadi sanawali ila may be konda alimkatalia, kiukweli kwa hali ilipokuwa imefikia nilitamani niendelee kuwa nae
 
Kiukweli sidhani kama upendo wa ndoa yako ulikuzuia kula mzigo bali mdomo mzito AKA domo zege ndiyo chanzo cha kukaa kwenye njia kuu hiyo siku.

hapana mkuu haya mambo nilishayafanyaga sana nanilishaamua kuyaacha ili nifocus future ya wanangu, nilijihoji sana kuhusu kuchukua kuchukua huo mzigo ila majibu niliyokuwa nayapata yali-neutralize hisia zangu zote dhidi ya mwanadada
 
Hakyanani, nyie ndo wanaume wa kupigwa vita duniani.

Angekuwa mkeo angepigwa sound na kutoa number ya simu.

Honestly sikusifii, ni sawa na kuacha kununua dhahabu kisa unayo nyingine home.

Wasalimie Arusha.

kwa style hii mbona nimepatwa jamanii...
 
swal la msing arusha ndipo makaz yalipo au dar ndio familia ilipo
kama ulikua unaenda kikaz kwa mbaaaaliiiiiiii naona kama ulikosea hivi ila kama ndio ulikua unarud nyumbani bas yalikua maamuz mazur kabisa

anyways kaendelee kumpenda mkeo michepuko waachie wenzio.......................
ila dah kama umechezea shiling chooni vle!!!!!!!!!!!!!

sasa mkuu we uko ukawa au ccm???
 
hapana mkuu haya mambo nilishayafanyaga sana nanilishaamua kuyaacha ili nifocus future ya wanangu, nilijihoji sana kuhusu kuchukua kuchukua huo mzigo ila majibu niliyokuwa nayapata yali-neutralize hisia zangu zote dhidi ya mwanadada

ni wachache sana mko na misimamo ya mrengo huu... mkuu Mungu aendelee kukutangulia na ukawe mume na baba bora kwa familia yako.
 
Mmh jaman ungeniambia tuu mbn mi nlikuachia cm makusud ili uweke namb yako........uliniiiiuuuudh ujue ulivoacha kuandika
 
usije ukajaribu kumsaliti mkeo eti kisa umeona mwanamke mrembo kumbuka kuwa uzur wa mkakasi ndani kipande cha mti.
 
Back
Top Bottom