Udhaifu wa wanawake na wanaume

Udhaifu wa wanawake na wanaume

samaki2011

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2013
Posts
1,775
Reaction score
469
Siku 1 nilikuwa nasafiri kutoka dar kwenda arusha. Kwa bahati nilikaa siti 1 na mdada m1 hivi mrembo, yule sister alikaa upande wa dirishani halafu mkononi alikuwa ameshika kitabu kilichokuwa na heading "Relationship to marriage" kilikuwa kimeandikwa kwa lugha ya kingereza. Kama kawaida yetu watanzania kabla ya kukaa nilimsalimia then namimi nikatoa gazeti langu la Tanzania Daima nikawa nasoma.

Wote tulikuwa tume concentrate, yeye kwenye kitabu na mimi kwenye gazeti langu,tulipofika kibaha sista akaweka pause kidogo nadhani alikuwa anatafakari mambo kadhaa, kwa ghafla na mimi nikashusha gazeti nikatazama nje kupitia dirisha, akadhani namtazama yeye hivyo akageuka ghafla kunitazama na macho yake mazuri tukajikuta tunatazamana. Aliponichanganya ni pale alipotabasamu na kuniuliza jina langu. Tukaweka majarida yetu chini tukafahamiana majina.

Kitendo hicho kilichukua dk kama 13 hv kisha kila m1 aliendelea na shughuli zake. Tulipofika chalinze nikawa nimemaliza kusoma gazeti, nikalikunja na kuliweka kwenye mkoba huku yule dada akiwa anaanza kusinzia taaratb, baadae alipitiwa na usingizi. Kutokana na rapsha rapsha za basi yule sista alijikuta ameniegemea begani ila sikujali ila kadri usingizi ulivyomzidi ndivyo alivyozidi kunilemea mwisho nilijikuta kalaza mikono yake kwenye mapaja yangu.

Dah nilipata shid kdg kwani nimeoa na nina mtoto m1, kibaya zaidi alikuwa na nywele ndefu zenye nakshi za kutosha nikaamua kuvumilia baadae alistuka na kukaa vzri. Nikamwambia hongera kwa usingizi ila yeye akacheka kwa tabasamu nzito kisha akasema asante. Sikutaka kukurupuka na kumuuliza jambo lolote linalohusu undani wake kwani nilishahisi kama yuk kwenye mahusiano kutokana na baadhi ya simu alizokuwa akizijibu ila kiukweli aliniweka mahali pagumu sana.

Alinifanyia vituko flani ambavyo vilinifanya nitake kufanya maamuzi magumu ya kiusaliti, alinipa mtihani mgumu sana. Kwa mfano staili alizokuwa anabadilisha kukaa huku chuchu zake zikionekana just half way. Kuna kipindi aliweka mikono yake kwenye paja langu la kushoto. Wadau nilijikuta nimekaa kimya mpaka tunakaribia himo. Nilijikuta nageuka mara kwa mara na kumtazama,nakila nilipomtazama nayeye alirespond kwa kunitazama huku wote tukitabasamu yani tayari kulikuwa na kanetwork flani. Wote tulijizuia kutoonyesha udhaifu zaidi. Nilitamani pia kuwa na contacts zake ila nilishindwa kwa sababu tayari nina mke.

Tulipokaribia kufika yule mdada aliamka akaniomba nimshikie simu zake 2 yeye akaenda kuongea na konda ili amshushe Phillips then akarudi huku akiwa na mishemishe nyingi zilizonifanya nishindwe kumpa simu nikajikuta nimekaa na simu zake hadi tunafika sanawari ambapo alitakiwa kushuka na ndipo alipozichukua na kuniaga.

Wadau unaweza kuwa na msimamo sana na jambo flani lakini kiukweli yataka moyo. Kuna kipindi nikimkumbuka yule sista najilaumu eti kwanini sikumwandikia namba zangu hasa pale aliponiachia simu zake.
 
Hakyanani, nyie ndo wanaume wa kupigwa vita duniani.

Angekuwa mkeo angepigwa sound na kutoa number ya simu.

Honestly sikusifii, ni sawa na kuacha kununua dhahabu kisa unayo nyingine home.

Wasalimie Arusha.
 
Daah kaka wanawake wana majaribu mazito halafu c unajua hofu ya kuchepuka pia
 
mimi sielewi hapa nishauri nn au taarifa

heading na yaliyomo ndani tofauti.....udhaifu ni upi sasa
mimi nilifikr ulishuka nae sanawari ukapata one nyt stand......
 
Umesema alikuachia cm akaenda kuongea na konda ili amshushe Philips ; ilikuwa je tena ashukie sanawali?

Kuweni makini jamani mnapotunga hadithi
 
usipoenda peponi wewe utakua umetendewa sio haki,mitego hadi padre au mchungaji anategeka
 
Hata mimi umeniudhi kabisa.............!
Unajua sisi wanaume sometimes ni kama paka, chui na simba huwa tunachomoa kucha na kukarua chini tuonapo kitoweo ila sio lazima tukile!
Sasa mkuu hata kuchomoa tu kucha kuonyesha kuwa akijipendekeza inakula kwake umeshindwa?
 
absolutely true ,kitoeo kinakuja hadi mdomoni jamaa amekomaa kufunga tu mdomo?
 
Mkuu hajala mzigo halafu wengi wenu mnamlaumu, ngoja nikaulize nyumbani.
 
swal la msing arusha ndipo makaz yalipo au dar ndio familia ilipo
kama ulikua unaenda kikaz kwa mbaaaaliiiiiiii naona kama ulikosea hivi ila kama ndio ulikua unarud nyumbani bas yalikua maamuz mazur kabisa

anyways kaendelee kumpenda mkeo michepuko waachie wenzio.......................
ila dah kama umechezea shiling chooni vle!!!!!!!!!!!!!
 
Aisee, hongera kaka!

Ila pamoja na kuwa umeshinda mtego huo bado una kazi ya ziada aisee...huyo hakukutega amini...ungetegwa wewe ungeishia soko mjinga!!!
 
Siku 1 nilikuwa nasafiri kutoka dar kwenda arusha. Kwa bahati nilikaa siti 1 na mdada m1 hivi mrembo, yule sister alikaa upande wa dirishani halafu mkononi alikuwa ameshika kitabu kilichokuwa na heading "Relationship to marriage" kilikuwa kimeandikwa kwa lugha ya kingereza. Kama kawaida yetu watanzania kabla ya kukaa nilimsalimia then namimi nikatoa gazeti langu la Tanzania Daima nikawa nasoma.

Wote tulikuwa tume concentrate, yeye kwenye kitabu na mimi kwenye gazeti langu,tulipofika kibaha sista akaweka pause kidogo nadhani alikuwa anatafakari mambo kadhaa, kwa ghafla na mimi nikashusha gazeti nikatazama nje kupitia dirisha, akadhani namtazama yeye hivyo akageuka ghafla kunitazama na macho yake mazuri tukajikuta tunatazamana. Aliponichanganya ni pale alipotabasamu na kuniuliza jina langu. Tukaweka majarida yetu chini tukafahamiana majina.

Kitendo hicho kilichukua dk kama 13 hv kisha kila m1 aliendelea na shughuli zake. Tulipofika chalinze nikawa nimemaliza kusoma gazeti, nikalikunja na kuliweka kwenye mkoba huku yule dada akiwa anaanza kusinzia taaratb, baadae alipitiwa na usingizi. Kutokana na rapsha rapsha za basi yule sista alijikuta ameniegemea begani ila sikujali ila kadri usingizi ulivyomzidi ndivyo alivyozidi kunilemea mwisho nilijikuta kalaza mikono yake kwenye mapaja yangu.

Dah nilipata shid kdg kwani nimeoa na nina mtoto m1, kibaya zaidi alikuwa na nywele ndefu zenye nakshi za kutosha nikaamua kuvumilia baadae alistuka na kukaa vzri. Nikamwambia hongera kwa usingizi ila yeye akacheka kwa tabasamu nzito kisha akasema asante. Sikutaka kukurupuka na kumuuliza jambo lolote linalohusu undani wake kwani nilishahisi kama yuk kwenye mahusiano kutokana na baadhi ya simu alizokuwa akizijibu ila kiukweli aliniweka mahali pagumu sana.

Alinifanyia vituko flani ambavyo vilinifanya nitake kufanya maamuzi magumu ya kiusaliti, alinipa mtihani mgumu sana. Kwa mfano staili alizokuwa anabadilisha kukaa huku chuchu zake zikionekana just half way. Kuna kipindi aliweka mikono yake kwenye paja langu la kushoto. Wadau nilijikuta nimekaa kimya mpaka tunakaribia himo. Nilijikuta nageuka mara kwa mara na kumtazama,nakila nilipomtazama nayeye alirespond kwa kunitazama huku wote tukitabasamu yani tayari kulikuwa na kanetwork flani. Wote tulijizuia kutoonyesha udhaifu zaidi. Nilitamani pia kuwa na contacts zake ila nilishindwa kwa sababu tayari nina mke.

Tulipokaribia kufika yule mdada aliamka akaniomba nimshikie simu zake 2 yeye akaenda kuongea na konda ili amshushe Phillips then akarudi huku akiwa na mishemishe nyingi zilizonifanya nishindwe kumpa simu nikajikuta nimekaa na simu zake hadi tunafika sanawari ambapo alitakiwa kushuka na ndipo alipozichukua na kuniaga.

Wadau unaweza kuwa na msimamo sana na jambo flani lakini kiukweli yataka moyo. Kuna kipindi nikimkumbuka yule sista najilaumu eti kwanini sikumwandikia namba zangu hasa pale aliponiachia simu zake.

Kiukweli sidhani kama upendo wa ndoa yako ulikuzuia kula mzigo bali mdomo mzito AKA domo zege ndiyo chanzo cha kukaa kwenye njia kuu hiyo siku.
 
Back
Top Bottom