Jamani Wanajamii Habari ya mchana
Napenda kuomba msaada wenu Kwa yeyote anaejua kilipo chuo kinachofundisha madereva wa malori tuu hapa dar Es salaam
Mdogo wang anapenda kuwa dereva wa lori
Write your reply...aende veta dar es salaam full course mwez mmoja tu ila awe na daraja d ili aweze Pata daraja e LA malori kuna magari ya kutosha atafanikisha ndoto Zake chuo Chao kiko buza yombo na ofisi zao ziko changombe utanisamehe kwa uandishi wangu simu aiko saw
Write your reply...nit uwezi kwenda km ujapitia Shule za veta kumbuka pale unaenda kuongeza madaraja unless awe na daraja d Tayar na Uwe na uzoefu I mean unaweza kuendesha vizur sio unaenda kujifunza awakuchukui
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.