Udereva na upolisi sio kazi za waliofeli tena std 7

leipzig

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2013
Posts
2,766
Reaction score
1,714
Katika utafiti nilioufanya yapata miaka miwili ilyopita niligundua kazi za udereva hasa mabasi na malori ya mizigo pamoja na upolisi zinamilikiwa na watu waliofeli darasa la saba,ukikuta ana elimu ya ziada basi atakuwa amejiendeleza akiwa kazini.

Kilichonisukuma kufanya utafiti huu ni pale nilipojiuliza ni kwa nini ajali zimekuwa nyingi hivi!nikagundua kuwa udereva ni taaluma mahsusi inayohitaji mtu mwenye elimu nzuri ya jiografia,fizikia na mahesabu.

Dereva anatakiwa alijue gari lake,uzito,mapungufu ya gari analoendesha,nguvu ya uvutano inayosababishwa na mwendo ktk kona,mabonde na milima nk, sasa kwa bahati mbaya watu waliopewa dhamana ya kuongoza nchi wanachukulia kazi hii ya udereva kama kazi ya daraja la chini afadhali ya housegirl.

Sasa unakuta dereva hajui mahesabu hayo na ndio maana tumeshuhudia ajali nyingi za kizembezembe na huku tunamuomba Mungu atuepushe pasipo sisi kuchukua hatua madhubuti.

Vile vile kazi ya upolisi,nakumbuka jamaa zangu wengi ambao hawakuwa wazuri darasana leo hii wengi wao ni mapolisi, sasa huwa najiuliza hivi hawajui kuwa mhalifu ni mtu mwenye maarifa ya ziada na hivyo polisi anatakiwa awe na maarifa kumzidi mhalifu? Leo hii tunashudia polisi anatumia nguvu zaidi kuliko maarifa katika kumhoji mtuhumiwa kiasi cha kumsababishia majeraha na ulemavu.

Kwa bahati nzuri nimetembelea nchi mbalimbali duniani hali ni tofauti sana,polisi anapokuwa anakuhoji hakugusi mwilini hata siku moja.

Naziasa mamlaka husika zijaribu kuangalia masuala haya kwa jicho pevu ili tuondokane na majanga haya ya ajali na uhalifu katika nchi yetu. NAWASILISHA
 
Ngoja wenyewe darasa la Saba waje wajibu kama Kuna ukweli😀
 
Hakuna uhusiano wowote wa kuwa dereva mzuri na kusoma... Unaweza ukawa na degree hata 60 lakini mtu wa darasa la nne akawa dereva mzuri zaidi yako
 
Katika utafiti nilioufanya yapata miaka miwili ilyopita niligundua kazi za udereva hasa mabasi na malori ya mizigo pamoja na upolisi zinamilikiwa na watu waliofeli darasa la saba,ukikuta ana elimu ya ziada basi atakuwa amejiendeleza akiwa kazini.
Kilichonisukuma kufanya utafiti huu ni pale nilipojiuliza ni kwa nini ajali zimekuwa nyingi hivi!nikagundua kuwa udereva ni taaluma mahsusi inayohitaji mtu mwenye elimu nzuri ya jiografia,fizikia na mahesabu.
Dereva anatakiwa alijue gari lake,uzito,mapungufu ya gari analoendesha,nguvu ya uvutano inayosababishwa na mwendo ktk kona,mabonde na milima nk, sasa kwa bahati mbaya watu waliopewa dhamana ya kuongoza nchi wanachukulia kazi hii ya udereva kama kazi ya daraja la chini afadhali ya housegirl.
Sasa unakuta dereva hajui mahesabu hayo na ndio maana tumeshuhudia ajali nyingi za kizembezembe na huku tunamuomba Mungu atuepushe pasipo sisi kuchukua hatua madhubuti.
Vile vile kazi ya upolisi,nakumbuka jamaa zangu wengi ambao hawakuwa wazuri darasana leo hii wengi wao ni mapolisi, sasa huwa najiuliza hivi hawajui kuwa mhalifu ni mtu mwenye maarifa ya ziada na hivyo polisi anatakiwa awe na maarifa kumzidi mhalifu? Leo hii tunashudia polisi anatumia nguvu zaidi kuliko maarifa katika kumhoji mtuhumiwa kiasi cha kumsababishia majeraha na ulemavu.
Kwa bahati nzuri nimetembelea nchi mbalimbali duniani hali ni tofauti sana,polisi anapokuwa anakuhoji hakugusi mwilini hata siku moja.
Naziasa mamlaka husika zijaribu kuangalia masuala haya kwa jicho pevu ili tuondokane na majanga haya ya ajali na uhalifu katika nchi yetu. NAWASILISHA

mkuu uko sahihi,,
mi naonaga kila mtu anasema speed kubwa inaleta ajali lakini kwangu binafsi huwa naona kabla ya kuipitisha/kutiki iyo statement naona kuna upuuzi mqingi ulioko vichwani mwa watu,
upuuzi/ujinga huo ndio unatukosti

kwa mfano mi nnadereva ambaye aliwahi kuniendesha 140-160kph singida to mwanza maranyingi, lkn ana akili zake za ziada usiige
akienda na 100kph linapita ha lisaa kwenye barabara za mashimo ,
ss sikuona unconfortability yoyote kwenye udereva wake.

then
akaja dereva mwingine anaumri wa 43(mwakajuzi) hakuwahi kufikisha 130kph hata siku moja yeye ni 100-120kph aliniendesha km wiki moja uzalendo ukanishinda nikagoma kuingia kwenye gari nikaomba nibadirishiwe dereva

wakasema ok ngoja kidogo km wiki moja so niendelee nae uyouyo kwanza
wakati nangoja ikatokea safari ya mtwara -songea 8 august 2013 mida ya saa nane tukapinduka kijiji cha matemanga tukatibiwa peramiho songea

izo sababu zako ni za kweli kabisaaa
(nilichokiona ni kwamba hekima/busara/maarifa ndio vitu vinamlinda mtu maisha yake yote)
 
Utafiti wako bure kabisa.Kwa taarifa yako hao madereva waliosoma zaidi ya darasa la saba wengi wao wameanza kufanya kazi hiyo,miaka ya hivi karibuni,na ajali mbaya mbaya ndiyo zimeongezeka
 
huu ni uogo wa kupindukia hakuna mahusiano ya gia na shule kuna mzee mmoja anasema alikomea dalasa la pili ikabidi aache shule lakini hivi leo amiaka 40 anaendesha gari na hajawahi kupata ajri wala kugonga hata kuku wa mtu lakini hapo hapo anpofanyia kazi kuna dereva msomi unaemtaka wewe alishapata ajali mala mbili tena anaendesha gari la wagojwa mala ya mwisho ameangusha gari akiwa kabeba mgonjwa
 
Katika utafiti nilioufanya yapata miaka miwili ilyopita niligundua kazi za udereva hasa mabasi na malori ya mizigo pamoja na upolisi zinamilikiwa na watu waliofeli darasa la saba,ukikuta ana elimu ya ziada basi atakuwa amejiendeleza akiwa kazini.

Kilichonisukuma kufanya utafiti huu ni pale nilipojiuliza ni kwa nini ajali zimekuwa nyingi hivi!nikagundua kuwa udereva ni taaluma mahsusi inayohitaji mtu mwenye elimu nzuri ya jiografia,fizikia na mahesabu.

Dereva anatakiwa alijue gari lake,uzito,mapungufu ya gari analoendesha,nguvu ya uvutano inayosababishwa na mwendo ktk kona,mabonde na milima nk, sasa kwa bahati mbaya watu waliopewa dhamana ya kuongoza nchi wanachukulia kazi hii ya udereva kama kazi ya daraja la chini afadhali ya housegirl.

Sasa unakuta dereva hajui mahesabu hayo na ndio maana tumeshuhudia ajali nyingi za kizembezembe na huku tunamuomba Mungu atuepushe pasipo sisi kuchukua hatua madhubuti.

Vile vile kazi ya upolisi,nakumbuka jamaa zangu wengi ambao hawakuwa wazuri darasana leo hii wengi wao ni mapolisi, sasa huwa najiuliza hivi hawajui kuwa mhalifu ni mtu mwenye maarifa ya ziada na hivyo polisi anatakiwa awe na maarifa kumzidi mhalifu? Leo hii tunashudia polisi anatumia nguvu zaidi kuliko maarifa katika kumhoji mtuhumiwa kiasi cha kumsababishia majeraha na ulemavu.

Kwa bahati nzuri nimetembelea nchi mbalimbali duniani hali ni tofauti sana,polisi anapokuwa anakuhoji hakugusi mwilini hata siku moja.

Naziasa mamlaka husika zijaribu kuangalia masuala haya kwa jicho pevu ili tuondokane na majanga haya ya ajali na uhalifu katika nchi yetu. NAWASILISHA

Uko sahihi. Tatizo linaanzia kwa maafisa wenyewe wa polisi. Watoto wao, wengi wao, ndiyo hao failures na tegemeo lao kubwa ndilo hilo la kuwasajili jeshi la polisi. Until hii chain ikizimwa ndiyo jeshi litapata graduates wengi.
 
Mwaka 2012 tulipata chance mimi na classmates wangu ya kuingia police. Tulifanya interview vizuri, siku tunaenda kupima afya pale kurasini hosp ya polisi nilikutana na askari ambaye ni daktari nafikir ana nyota mbili au tatu sina hakika. Aliniuliza maswali ya elimu yangu kuanzia olevel na grade zangu za masomo basi nlipomwambia niliposoma na grade zangu basi alishangaa sana kuona mtu kama mimi nimesoma shule nzuri na kupata grade nzuri bado nakimbilia polisi akanishauri niachane na polisi bora nikajiendeleze kielimu. Nikashangaa kuona polisi wenyewe wanaidharau taaluma hiyo, nilishangaa sana.
Basi tulipomaliza kupima afya mimi sikurudi tena, wenzangu wakapangiwa depo.
 
mkuu uko sahihi,,
mi naonaga kila mtu anasema speed kubwa inaleta ajali lakini kwangu binafsi huwa naona kabla ya kuipitisha/kutiki iyo statement naona kuna upuuzi mqingi ulioko vichwani mwa watu,
upuuzi/ujinga huo ndio unatukosti

kwa mfano mi nnadereva ambaye aliwahi kuniendesha 140-160kph singida to mwanza maranyingi, lkn ana akili zake za ziada usiige
akienda na 100kph linapita ha lisaa kwenye barabara za mashimo ,
ss sikuona unconfortability yoyote kwenye udereva wake.

then
akaja dereva mwingine anaumri wa 43(mwakajuzi) hakuwahi kufikisha 130kph hata siku moja yeye ni 100-120kph aliniendesha km wiki moja uzalendo ukanishinda nikagoma kuingia kwenye gari nikaomba nibadirishiwe dereva

wakasema ok ngoja kidogo km wiki moja so niendelee nae uyouyo kwanza
wakati nangoja ikatokea safari ya mtwara -songea 8 august 2013 mida ya saa nane tukapinduka kijiji cha matemanga tukatibiwa peramiho songea

izo sababu zako ni za kweli kabisaaa
(nilichokiona ni kwamba hekima/busara/maarifa ndio vitu vinamlinda mtu maisha yake yote)

Mkuu Nakubaliana na ulivyomalizia hapo chini, lakini uandishi wa leipzig unanisikitisha, The coordinator himself anafanyaje kosa la kuandika bila aya? anyway amerekebisha.
 
Last edited by a moderator:
Mwaka 2012 tulipata chance mimi na classmates wangu ya kuingia police. Tulifanya interview vizuri, siku tunaenda kupima afya pale kurasini hosp ya polisi nilikutana na askari ambaye ni daktari nafikir ana nyota mbili au tatu sina hakika. Aliniuliza maswali ya elimu yangu kuanzia olevel na grade zangu za masomo basi nlipomwambia niliposoma na grade zangu basi alishangaa sana kuona mtu kama mimi nimesoma shule nzuri na kupata grade nzuri bado nakimbilia polisi akanishauri niachane na polisi bora nikajiendeleze kielimu. Nikashangaa kuona polisi wenyewe wanaidharau taaluma hiyo, nilishangaa sana.
Basi tulipomaliza kupima afya mimi sikurudi tena, wenzangu wakapangiwa depo.

Nawashangaa baadhi ya watanganyika kwa kubeza elimu huku wakifagilia waganga wa kienyeji na babu wa Samunge,hii dunia bila elimu sahihi katika nyanja zote tusipokuwa tutakuwa vibarua ktk nchi yetu wenyewew na kuishia kulalamika.
 
mimi sikusoma lakini ni wasomi wachache sana wanaoweza kunishauri katika biashara zangu.
 
Back
Top Bottom