UDASA: Tunaidai Serikali zaidi ya Bilioni 11, watulipe kabla ya Februari 28, 2019

Hivi hawa si ndio wale sycophantic professors waliokuwa wanamsifia fulani siku ile ya symposium yao. Hakuna haja ya kuhurumia wala kusaidia wapumbavu! Wahangaike na hali zao kama sisi tunavyosota mtaani. Nchi imejaa wanafiki! Kila mtu aumie kivyake! Wao akina nani wapewe airtime. Ikiwezekana kuanzia February wasilipwe mishahara! Si mmesikia hali ya hazina. Mkome! Pimbi nyie.
 
pole sana mwana UDASA ila bahati mbaya JIWE halipigwi mikwara that easy!
 
Hivi hawa si ndio wale sycophantic professors waliokuwa wanamsifia fulani siku ile ya symposium yao. Hakuna haja ya kuhurumia wala kusaidia wapumbavu! Wahangaike na hali zao kama sisi tunavyosota mtaani. Nchi imejaa wanafiki! Kila mtu aumie kivyake! Wao akina nani wapewe airtime. Ikiwezekana kuanzia February wasilipwe mishahara! Si mmesikia hali ya hazina. Mkome! Pimbi nyie.

Mkuu vyuoni huwa kuna ma T.A, Ma assistant lecturers, Lectureres etc

Maprofesa huwa ni wachache sana kulinganisha na staff wengine.

Tena hawa mastaff wasio maprofesa ndiyo engine ya chuo maana mzigo mkubwa wanaubeba wao!
 
1.Kama wanafunzi wanafaulu lakini wanashindwa kwenda sekondari kwa sababu ya uhaba wa madarasa

2.Kama maelfu ya wanafunzi wanakosa mikopo ya elimu ya juu licha ya kufaulu

3. Kama WALIMU WA VYUO VIKUU HAWALIPWI STAHIKI ZAO

Je ni kitu gani cha maana huyu mtu anafanya cha kukuonyesha yuko serious na Mustakbali wa Taifa hili?

Pesa za kununua Wapinzani anazo, ila za kuboresha elimu hana!

This man is a Joke!
 
Hata kama wakitung'oa kucha,ni kweli that man is a joke! And a big one for that. Eti anachapa kazi, huwa najiuliza kazi gani? Maisha ya watu yanazidi kuwa magumu,maelfu ya wahitimu hawana ajira na walio na ajira umeshindwa kuwaongezea mishahara kwa miaka mitatu, benki nane zime collapse, biashara nyingi,zaidi ya 200,000 zimefungwa nchi nzima, mitaji imekimbizwa kwenda nje ya nchi, wawekezaji hawaji tena kama zamani! Mapato yameshuka na thamani ya shillingi ndio hiyo hata hatusemi siku hizi.Huwezi kujisifia tu kwa sababu umezoa hela ndogo zilizopo hazina na kununua ndege na kujenga vidaraja (kumbuka hata hicho ki flyover kimejengwa kwa msaada wa Japan). Pesa ipo!
 
Jumuiya ya Wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDASA) imesikitishwa sana na tabia za baadhi ya Watumishi wa Serikali wanaochelewesha kwa visingizio visivyoeleweka malipo kuhusu stahiki mbalimbali za WanaUDASA

Kwa miaka 3 sasa Wanataaluma wanaostahili kulipwa posho ya nyumba ya kuishi (kwa mujibu wa standing orders for the public service 2009, section L, L.34 hadi L36 na Section M)

Kwa UDSM pekee Wanataaluma wanaidai Serikali kiasi cha za Kitanzania Bilioni 6, 272,357,696.00 ambalo ni deni la kuanzia Januari 2014 hadi Septemba 2018

Deni hili linaendelea kuongezeka kila mwezi ilhali hakuna maji ya kueleweka kutoka kwa wahusika

Wanataaluma wa UDSM wanaidai Serikali kiasi cha zaidi ya Shilingi Bilioni 5 kama malipo ya nyongeza ya mishahara (arrears). Baada ya malalamiko Juni mwaka jana WanaUDASA 102 walilipwa lakini 1060 hawakulipwa

"Zoezi hilo la ulipwaji lilikuwa na viashiria kama vya kutaka kuwaziba midomo baadhi ya wanajumuiya"

Kwa miaka mitatu Wanataaluma wanaokidhi vigezo hawapandishwi madaraja na waliopandishwa baada ya kuongeza elimu hawaongezewi mishahara

Pia kuna wana watumishi walioajiriwa 2017 hawakulip wa mishahara kwa muda wa miezi 5 na hadi sasa hawajalipwa

Hivyo UDASA tunashauri yafuatayo.

> Serikali ilipe mara 1 malipo yote ifukapo Februari 2019.

> Serikali ianzishe utaratibu wa kuambatanisha malipo ya posho ya nyumba kwa wanaostahili pamoja na mishahara yao

> Ofisi ya Utumishi wa Umma iwapandishe mara moja Wanataaluma vyeto vipya na ianze kuwalipa mishahara inayoendana na vyeo hivyo

Kinyume na hapo Serikali itakuwa imetangaza mgogoro na Wanataaluma. Mgogoro huu utatulazinisha WanaUDASA kuondoa nguvu yetu kwenye majukumu yetu

Dkt. George Leonard Kahangwa
Mwenyekiti wa UDASA
Posho ya nyumba na malimbikizo ya mishahara yamefikia wapi? Mbona kimya? Au mmenyamazishwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha anatafuta uteuzi huyo. Madai hupelekwa mahakamani, hizi zingine ni blabla tu. Hakulipwa walifanya nini?! Wasipilipwa watafanya nini?!
Tuliambiwa hao ndio vipanga, sasa vipanga wanaogopa kuifungulia kesi ya madai serikali?!
Wagome tuone, waache siasa za sekondari kudai makande badala ya mambo yahusuyo taaluma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
dah hadi leo !?????
mwaka 2014 rais mstaafu, kikwete aliidhinisha jumla ya sh bilioni 900 kwa ajili ya kulipa watumishi wenye madai..
mara tu baada ya kusukumizwa, 2016 jiwe alienda BoT na kuzuia hizo hela akidai anahakiki..
mwaka 2018 aliachia bilioni 140 na kusema watumishi wote wanaodai wamelipwa na wameokoa fedha..
UDASA walikuja kuu, govt ikasema imenukuliwa vibaya..kkk !
bilioni 760 zilizobaki ni siri ya jiwe..
MPATE AKILI YA KUPIGA NA KULINDA KURA !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hawa si ndio wale sycophantic professors waliokuwa wanamsifia fulani siku ile ya symposium yao. Hakuna haja ya kuhurumia wala kusaidia wapumbavu! Wahangaike na hali zao kama sisi tunavyosota mtaani. Nchi imejaa wanafiki! Kila mtu aumie kivyake! Wao akina nani wapewe airtime. Ikiwezekana kuanzia February wasilipwe mishahara! Si mmesikia hali ya hazina. Mkome! Pimbi nyie.
Wako maprofessor wengi tu wanaofanya kazi zao kwa uadilifu nahutawaona kwenye utoaji wa mihadhara ya aina ile kwani hakuna wa kuwaalika watoe hiyo mihadhara. Hivyo ni kuwaonea ukiwajumlisha na wale maprofessor wanaosifu.
 
Back
Top Bottom