DUME SURUALI
JF-Expert Member
- Dec 8, 2016
- 782
- 1,081
Ilikuwa jana tarehe 26.
Maeneo ya posta (city hunter) karibu na posta ya zamani
Maajabu niliyoona jana ilinibidi nicheke !! Ni hivi;
Kwanza niwashukuru viongozi woote wa mradi huu wa mabasi yaendayo kasi kwa kazi nzuri ya kutuletea magari haya amazing () ?
1)Niwashukuruni kwa kutuletea mabasi machache kuliko watumiaji(abiria) Kwani tunapokuwa kituoni kusubiri gari (kwa zaidi ya dakika 15 sometime) wengine tunapata fursa ya kutongoza watoto wazuri
2) Niwashukuruni kwakuwa tunapopanda gari hizi ..hasa kuanzia mida ya jioni,tunakuwa tumebananaa (hali hii sisi Madume suruali tunaifurahia sana kwani huwa tunapata totoz za ku hug (kubambia)
3) Niwashukuruni sana kwani pia tunapokuwa tumebanana wengine Majasho yetu yananukaa hali inayopelekea wengine kukugeuzia mgongo(kwa mtoto wa kike teyari ni opportunity kwani akinigeuzia mgongo mie nafaidi tu)
4) Niwashukuruni kwa kuwa haya magari hayana Air conditions(Ac) na madirisha yake ya juu yapo closed hii ni dawa kwa wale wanaojifanya wamezoea Ac maofisini mwao coz tukiwa ndani ya mwendokasi au (BLUST FURNACE) hapa inakuwa ni 0-0 pia magojwa yanayotokana na hewa (Air born Diseases) Kama -tuberculosis (TB) nk. Hayatatupata kwani sisi watu weusi ni wagumu kuumwa.
5) Niwashukuruni kwakuwa Baadhi ya wafanyakazi wenu wanajiongeza Sana (wale wanaopokea pesa dirishani) kwani wengine ukiwapa 700 ndio umesamehe,watakuambia chenji sh50 hakuna ! hivyo tunasamehe (tunakuwa tumetimiza moja ya amri za mungu ya samehe saba mara 70)
So,tunaenda peponi bila kujua
6) Niwashukuruni kwa kutuleteeni magari ambayo ni original na kwa hili sina pingamizi yale mabilioni yetu ya kodi yalienda kihalali kabisaa!!
7) Niwashukuruni Sana Kwan kutokana na mazingira ya ndani ya kituo na nje ya kituo,ni rahisi Sana kwa mtu kuingia na kutoka ..hapa nadhani mmefanya hivi kutusaidia sie tusio na pesa tuweze kujiongeza
Mungu atawalipa kwa wema wenu huu
7) Pia niwashukuruni kwa kujengea vituo vyenye standard ya kimataifa
Sababu mmefanya baadhi ya WASUKUMA waje dar es salaam kupiga Selfie's kwenda kuringisha huko whatsapp na facibuku
LAKINI KIKUBWA NILICHOKIONA JANA MAENEO YA POSTA (CITY HUNTER) NI AMAZING!!
Mwisho.
Niwashukuruni kwakuwa mmetuletea mradi unaotokana na kodi zetu (wengine tunajinyima hata kuhonga akina miss chagga,faiza foxy,evely salt,miss natafuta,honey faith,dinazarde,... ili tulipe kodi)
Na pia mradi ambao east Africa nzima hakuna!!
Mradi uliojengwa na strabarg (ma engineer maarufu duniani)
Mradi ambao mvua ikinyesha,vituo vyake vinavuja maji!!
Kwani watu wanaweza kuja ndani ya kituo kukinga -hivyo wanakuwa wamepata maji hata ya kudekia,so this is advantage.
Mradi ambao barabara zake zina jaa maji !
Hii ni faida kubwa sana kwani mfano Mvua zikinyesha kwa muda wa wiki 2 mfulilizo -Tunaweza tukavuna samaki humu na ukiangalia kipindi hiki samaki walivyo na bei!!
Sasa hii ilikuwa ni City hunter sijui hali ya vituo vingine ilikuwaje hapo jana ...Na mvua yenyewe ni ya dakika 10tu!!(amazing)
Ikinyesha hivi kwa muda wa mwezi1 I swear to god TANZANIA TUTAKUWA TUNAONGOZA KWA UVUNAJI WA SAMAKI MBELE YA JAPAN!!
This is not joke as usual !!
_Dume suruali official ._