zailolly
Senior Member
- Mar 4, 2013
- 116
- 75
duuh yaan now days full kudanganyana mfano kwenye hizi social networks waume za watu kwa wanawake za watu ndipo wanapotumia kucheat face name n identity ndizo za tumika ilimradi tuu muendelezo wa uzinzi kiasi kwamba some of the people hata wakiwa serrious kupost thread zao za kutafuta wachumba wanawatake for granted jaman u guyz lets change coz cjui kizazi hiki kinaelekea wapi? ukitaka kumdate mwanaume anainsist ngono kinyume na maumbile wat is so special abt this? yaan mtu yupo radhi kumuacha mpenz wake just becoz kashindwa kumtimizia hyo demand yake yakishetani, tubadilike jaman kikubwa tuwe na hofu ya mungu.......................................tooo sad""""
'''''Msg sent hata kama ukicomment shit''''
'''''Msg sent hata kama ukicomment shit''''