Dalali wa Mjini
JF-Expert Member
- Oct 5, 2024
- 1,119
- 1,618
Mkuu hapa nakubishiaHivi wewe kila mda unazima data unaweza kununua mafuta ya gari Kweli!
Kwanini mkuuMadalali ufalme wa mbinguni sijajua kama mtabahatika kuuona
πππππππππ
Aliyemuelewa naomba anielewesheHabari ndugu zangu.
Ni siku nyingine tena kwenye chini ya JUA.
Baada ya kuzurula sana kutafuta gari ya Uber na bolt bila mafanikio huku nikiwa napiga Domo (Dalali)
Kuna jamaa humu alinichek nikakutana nae tukapanga fresh Gari iwekwe gesi maana Gari yake ilikuwa CC 1700.Brother hujanipigia tena na mbaya Zaidi namba yako haitoki inaishia na 92.Nimeona niifute tu namba yako kaka.Sababu wewe mwenyewe hukunitafuta kwahiyo huwenda ulipiga hesabu zako zikawa haziendi.
Sasa wakuu Mimi ni Dalali rasmi.
Nipe Kazi ya kukuuzia na kama unahitaji kununua.
NYUMBA
GARI
KIWANJA
KITUO CHA MAFUTA.
Vile vile naweza kusimamia mradi wako kwa makubalino mazuri.(Heshima na Uaminifu ni kipaumbele)
Una shamba unataka kulima naweza kukutafutia watu wa kukulimia bila tatizo na utafanya nao makubalino ya pesa wewe mwenyewe.
Mafundi ujenzi naweza kukutafutia ambao ni professional yao kabisa.
Nipigie simu/WhatsApp +255754693556.
Ufungue ofisi na ulipe Kodi,utapata tender kwa uhakika,sio udalali wa konakona!Kila la kheri.Habari ndugu zangu.
Ni siku nyingine tena kwenye chini ya JUA.
Baada ya kuzurula sana kutafuta gari ya Uber na bolt bila mafanikio huku nikiwa napiga Domo (Dalali)
Kuna jamaa humu alinichek nikakutana nae tukapanga fresh Gari iwekwe gesi maana Gari yake ilikuwa CC 1700.Brother hujanipigia tena na mbaya Zaidi namba yako haitoki inaishia na 92.Nimeona niifute tu namba yako kaka.Sababu wewe mwenyewe hukunitafuta kwahiyo huwenda ulipiga hesabu zako zikawa haziendi.
Sasa wakuu Mimi ni Dalali rasmi.
Nipe Kazi ya kukuuzia na kama unahitaji kununua.
NYUMBA
GARI
KIWANJA
KITUO CHA MAFUTA.
Vile vile naweza kusimamia mradi wako kwa makubalino mazuri.(Heshima na Uaminifu ni kipaumbele)
Una shamba unataka kulima naweza kukutafutia watu wa kukulimia bila tatizo na utafanya nao makubalino ya pesa wewe mwenyewe.
Mafundi ujenzi naweza kukutafutia ambao ni professional yao kabisa.
Nipigie simu/WhatsApp +255754693556.
Shukrani kakaUfungue ofisi na ulipe Kodi,utapata tender kwa uhakika,sio udalali wa konakona!Kila la kheri.
Piga simu nikueleweshe mkuuAliyemuelewa naomba anieleweshe
Nikajua niko peke yangu niliyetoka na logo ya KAPPAAliyemuelewa naomba anieleweshe
Mbuzi moja sh ngapi?Mkuu nitafutie soko la mbuzi hapo DSM ninao 182 nawatafutia soko zuri
Nipo Dar mkuuKama uko mwanza tutafutane
135kMbuzi moja sh ngapi?
Inategemea mkuu πdalali hujui kutunza siri za mteja πππ€£
Poa mkuu nitakurudia.135k