Udaku special........

Zero One Two

JF-Expert Member
Sep 16, 2007
9,347
3,023
- Baba V asugua benchi baada ya kupigwa chini hii imetokea huko Chit Chat
-Mwigulu Nchemba hajulikani alipo potelea source: siasani
-Dr. Slaa akataa mjadala na Nape source: siasani
- Bi mona anahitaji mume source; Love connect
- wanawake wanapenda 0713 source : MMU
-Pengo atishiwa, pesa ndefu itatolewa kwa atakae timiza kupatikana kwa wanao husika na hivyo vitisho. source : siasa
-immigration watoa majina ya wanaoitwa kwenye usaili source; Ajira
- Rav 4 na Noah zinauzwa bei sawa na bure kama unashida dadi Bishanga anakopesha pesa ukienda na sura ya huruma anakununulia bure source; matangazo
-mjasiria analalamika baada ya kukosa mupenzi wa kuona nae source; Love connect
-Kama una pesa kaoe mzungu ni kauli ya notifeki
-Bepari la ukweli: u must try this....... hii ni kauli ya kabanga

UPDATE
 
Una nini na mtu wa watu jamani dah mbona wamwandama sana au ni mtani wako.
 
nimekuthamehe uwe na amani... mie mbona umeninyima maandazi? jana lindoni nilivamiwa nikabaki nimechanganyikiwa ndio maana nimejikuta naandika mambo ambayo sio udaku......

Nithamehe, nilijikuta nasinzia kwenye kigoda wakati nakanda maanzazi ya biashara leo asubuhi...mbona umeleta udaku ambao sio udaku kabisa?
 
nimekuthamehe uwe na amani... mie mbona umeninyima maandazi? jana lindoni nilivamiwa nikabaki nimechanganyikiwa ndio maana nimejikuta naandika mambo ambayo sio udaku......

Basi leo sitakukimbia tena, tutakaa wote tunakanda maandazi hadi naiti kali....au wasemaje.....niambie kabisa ili niandae na kahawa
 
Back
Top Bottom