Huyo snowhite nilimwambia tokea ofisini kuwa awe makini na timu anazochagua kushabikia maana inawezafika robo fainali hana timu.
Mie nilimwambia Belgium itafika mbali akanishushua.
Ona sasa leo ni woldi cap resti dei yeye amebaki kumshangia Tim Howard kwa save 15 alizofanya na kuukataa ukweli kuwa actually alishindwa kufanya save mbili.
Bible inasema mtakula mema ya nchi si ndo hayo jaman....pia inasema kila mtu atakula madhabahuni pake...hivo kama we madhabahu yako hailiki ulie tu na makamera yako mgongoni teh teh.....