Udaku Special 2nd Edition!! Limesheheni....

Hatimaye mwenyekiti arudi kwa kasi,

Waliojikaimisha nafasi kihuni matumbo joto,
Vijana wa chuga watajwa,

Yadaiwa walimzushia kifo kama Balali,

Adhabu yao ni siri kubwa.
 
Hatimaye mwenyekiti arudi kwa kasi,

Waliojikaimisha nafasi kihuni matumbo joto,
Vijana wa chuga watajwa,

Yadaiwa walimzushia kifo kama Balali,

Adhabu yao ni siri kubwa.

Ulipotea walikuwa wanakusaidia majukumu.
 
Kazi iko hapo kwa aliyemwangusha paroko,, inasemekana mapenz yao yalikolea hadharan huko JF group hapo mtumishi wa Mungu paroko akashindwa kuhimili mihemko ya mwili na kujikuta akisaliti utumishi na kuangukia kwenye penzi la mwanadada Valentina
Hello...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom