Samahani wakuu naomba kuuliza hv wenye div three mwaka huu wanaeza kuappy bachelor degree
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani na mimi naomba msaada mwenye dvs 3 ya point 14 yaani DEE comb ya PCB anaweza kupata nafasi ya kusoma degree mwaka huuSamahani wakuu naomba kuuliza hv wenye div three mwaka huu wanaeza kuappy bachelor degree
Sent using Jamii Forums mobile app
HAPANA.....Jamani na mimi naomba msaada mwenye dvs 3 ya point 14 yaani DEE comb ya PCB anaweza kupata nafasi ya kusoma degree mwaka huu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo zimefika cutt of point 4 kwa masomo mawili ?Jamani na mimi naomba msaada mwenye dvs 3 ya point 14 yaani DEE comb ya PCB anaweza kupata nafasi ya kusoma degree mwaka huu
Sent using Jamii Forums mobile app
Daahh yan mpaka saiv bado hujazijua cut off point.....nakuhurumia mkuuJamani na mimi naomba msaada mwenye dvs 3 ya point 14 yaani DEE comb ya PCB anaweza kupata nafasi ya kusoma degree mwaka huu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama huna msaada kwa swali lake unaweza pita kimya kimya tu!Daahh yan mpaka saiv bado hujazijua cut off point.....nakuhurumia mkuu
Ila omba unaeza pata
Sent using Jamii Forums mobile app
CCF,CCE,BDE, zote ni div 4 2014 zinapeta nouma sana..Hapo zimefika cutt of point 4 kwa masomo mawili ?
Tambua
A=5
B=4
C=3
D=2
E=1
S=0•5
Halafu pia division sio inshu ya kuwa na sifa ya kupata chuo,maana wewe una division 3 hupati chuo,
Lkn wakati huo huo kuna mwenye division 4 aliyemaliza 2014.Anapata chuo na sifa ya kusoma degree
Huwezi pata nafasi ya kusoma degree chuo chochote hapa Tanzania ndugu yangu, anza tu na diploma na ukaze msuri huko diploma, utaiona degree mbelenini inajongea.