UDAHILI AWAMU YA NNE

UDAHILI AWAMU YA NNE

Ndeteiyo

Member
Joined
Sep 13, 2016
Posts
45
Reaction score
8
awamu ya nne ya udahili wa wanafunzi vyuoni kwa ngazi ya shahada 2018/2019
itatoka lini? maana hii ndio awamu ya mwisho inasemekana wanafunzi wote ambao bado awajapata vyuo watapata wote kweli?
 
JKN tayar
 
Kwa wanaochukua stashahada na astashahada nacte imetoa awamu ya tatu kutuma maombi
 
Back
Top Bottom