Msitake kudanganya umma kuwa wanaume wanatoka nje ya ndoa kwa kuwa wake zao hawawezi himili yale wanayofanyiwa nyumba ndogo......mwanamke ni mwanamke na hawatofautiani sehemu zao za siri wala nguvu pale wanapoolewa........Ila najua kuna mambo machafu wanaaume wa kwenye ndoa wanafanya na nyumba ndogo,sasa kama ni hayo wanawake wenye ndoa kama ulimwoa kwa sababu anajipenda,ana hofu ya Mungu na wewe unampenda kweli na pengine ni mama wa watoto wako,huwezi fanya nae.kama ni yale ya kawaida tu wote wanaweza na wasioweza kama anakupenda atajitahidi kiasi cha uwezo wake......Tatizo wanaume tamaaa jamani,yani!:Cry: