Picha haihusiani na mada
Hbr yenu wana jamvi...
Nina machache napenda kuwashirikisha jioni hii.
Umeoa na kupata watoto kadhaa na mkeo. Anakuja mtu na kukutonya kuwa "watoto hao si wako" ila mkeo husema ni watoto wako.
Utachukua hatua ya kuwapima DNA watoto wako au utapotezea na kuendelea kuwatunza tuu?
Asanteni sana. Nawasilisha.
Ijumaah Kareem!
Picha haihusiani na mada
Usipoteze Muda kuwapima utaji Frustrate, Kitanda hakizai Haramu. We chakufanya endelea kuwatunza as hujui Hekima ya Mungu wako. Ukienda ukakuta sio wako utawafukuza? jee Later ukipata Taarifa kuwa Vipimo vile vilikuwa na walakini utasemaje? Pengine vipimo sio tatizo ila msoma majibu aka Under Go Human Error itakuaje?
Acha kufatilia vitu visivyo na Tija as pengine hata huyo unaetambua kuwa ni Baba yako sio na kigezo cha kufanana nacho sio pengine mdogo au kakae anaefanana na e ndo alicheza kamchezo.
Kwenye ndoa ama kwenye maisha usipende kusikiliza sana maneno ya watu....Hapo mi nitaanza kumchunguza alieniletea hiyo taarifa kwanza kabla ya ku-deal na uhalali wa watoto kwamba ni wangu ama si wangu...For sure kitanda hakizai haramu so hapo ni ku-deal na mleta taarifa had ajute kwa nin aliniambia hizo mavitu..
lazima wapimwe kitanda hakizai haramu ni bible au quran? Usaliti unapingwa na dini zote hata milaUsipoteze Muda kuwapima utaji Frustrate, Kitanda hakizai Haramu. We chakufanya endelea kuwatunza as hujui Hekima ya Mungu wako. Ukienda ukakuta sio wako utawafukuza? jee Later ukipata Taarifa kuwa Vipimo vile vilikuwa na walakini utasemaje? Pengine vipimo sio tatizo ila msoma majibu aka Under Go Human Error itakuaje?
Acha kufatilia vitu visivyo na Tija as pengine hata huyo unaetambua kuwa ni Baba yako sio na kigezo cha kufanana nacho sio pengine mdogo au kakae anaefanana na e ndo alicheza kamchezo.
That little girl is morbidly obese.