Tanzania bwana! Nu ujanja ujanja tuuuuu kwa kila kitu. Sasa kwa nini suala la umiliki wa UDA liwe mjadala bungeni kama ni shirika halali?
Hii mijamaa mbona ni mifukara mikubwa inatumiwa tu kama mpira wa kiume. Dawa ni kuwaeleza ukweli hizi kwamba hata mkisingizia kuwa chanzo ni gazeti msilolipenda lakini watanzania tunajua kila kitu, tunasubiri muda ufike Tu tupambane.Ngoja makuwadi wa mafisadi na maroboti ya Lumumba yaje na mapovu yenye shombo"!
Taarifa hii ina harufu ya Utanzania Daima
mafisadi wameuziana UDA! Dah kweli hii nchi shamba la bibi na cha ajabu itakuja misukule hapa kuwatetea hawa majizi! Pambafu sana miccm yote
Taarifa hii ina harufu ya Utanzania Daima
Haina harufu yoyote ya utanzania daima ndivyo ilivyokuwa labda utwambie wachangiaji wengi walikuwa wa kambi ya upinzani. kimsingi tangu bunge lianze wengi wao ndiyo wenye hoja zenye mashiko. Serikali ilijichanganya na inaonekana mununuzi wa UDA ni kigogo anayeogopwa la sivyo ununuzi wake ungelikwishabatilishwa.
Taarifa hii ina harufu ya Utanzania Daima
Taarifa hii ina harufu ya Utanzania Daima
Sawa wametuzidi ujanja wameuziana shirika, sasa imekuwaje waziri wa fedha Mwigulu Nchemba awape msamaha wa kodi kwa kuingiza mabasi 300. Mbona wamiliki wengine wa mabasi hawapewi misamaha. Kama kodi kwa kila basi ni milioni 15 ina maana hapo watanzania tumeibiwa milioni 4,500 za kodi. Hii familia ya Kikwete inafilisi nchi.
-Waziri wa Fedha katoa Msamaha wa Kodi kwa Kisena.
-Naibu mwenzie hamtambui aliepewa misamaha ya Kodi
-Waziri wa Uchukuzi ndio hata faili la UDA hajui linafananaje!!
Sisi watanzania ni watu wa ajabu sana. Simon Group has invested millions of dollars to make UDA what it is today in barely a couple of years. Kaboresha ufanisi, ameleta mabasi brand new , yako kila kona na anaendelea kuleta mengine. Wanasiasa ndio wanaona muafaka kuleta hoja zao za kijinga sasa? Mbona wao hawakulifufua shirika la UDA kwa miaka yote ile. What we ordinary Tanzanians care for is affordable, quality and timely service. Hatujali nani mmiliki. Hizo shares za UDA zilipokuwa jiji/serikalini zilimfaidisha vipi na nini mtanzania wa kawaida? Acheni siasa kwenye mambo yasiyohitaji siasa. The government must not venture in the business of running corporations. Robert Kisena ameonyesha uwezo mkubwa kwa kulifufua shirika lililokufa kifo cha mende. Tumpongeze na kumpa ushirikiano mzalendo huyu. Kwa ushauri wangu hata mashirika mengine kama ATC, TRL, TPA wapewe wazalendo kama Robert ili tuendelee na sio hizi porojo za wanasiasa uchwara.
\Taarifa hii ina harufu ya Utanzania Daima
Sawa wametuzidi ujanja wameuziana shirika, sasa imekuwaje waziri wa fedha Mwigulu Nchemba awape msamaha wa kodi kwa kuingiza mabasi 300. Mbona wamiliki wengine wa mabasi hawapewi misamaha. Kama kodi kwa kila basi ni milioni 15 ina maana hapo watanzania tumeibiwa milioni 4,500 za kodi. Hii familia ya Kikwete inafilisi nchi.
Taarifa hii ina harufu ya Utanzania Daima
Mwakyembe ni mbinafsi mno. Anajua fika ukweli ukoje kuwa UDA ni ya Riziwani Kikwete, ila kwa kulinda kibarua inabidi akae kimya. Kumbuka Mwakyembe aliikana Tanganyika aliyoitetea kwenye research yake ya PhD. Kuna mijinga huwa unawaza Mwakyembe ana sifa za urais wakati mi naona hata za ubunge hana. Hawezi kutetea nchi Mwakyembe maana alikuwa anachangia huku anaangalia upande wa Riziwani kwa woga.