UDA ya Kisena haijalipa mishahara

UDA ya Kisena haijalipa mishahara

Col. Mkali

New Member
Joined
Oct 8, 2014
Posts
4
Reaction score
0
Ninapoandika ni kwamba acc zinasoma 0:0. Je, na wengine hamjalipwa?

Mshahara wa mwezi wa 9 hatujalipwa.
 
Ukiishalipwa hii thread haitakuwa na maana,au JF members nao wanalipwa na UDA?
Mtumie hii Meseji mhusika
 
Ukiishalipwa hii thread haitakuwa na maana,au JF members nao wanalipwa na UDA?
Mtumie hii Meseji mhusika
niliweka thread humu JF jinsi usafiri unavyotesa watu wa DSM, kimsingi nilisema CCM imeshika dola, lakini imeshindwa kutatua kero ya usafiri DSM, leo unaona hawa jamaa wanalalamika mishahara hakuna mpaka sasa, UDA yenyewe ina imeuzwa kimagumashi, sasa si unaona ni mivurugano tu chini ya chama kimoja hiki tangu uhuru!
 
The Guardian kwa tajiri Mengi sasa ni mwezi wa pili bado hakuna kiyu, kuna mdogo wangu pale analia sana.......Mengi yeye kakalia tu kuhonga kule fobes ili atoke front page.....
 
Kisena nasikia wako na mtoto ya mkulu.....mtakufa na njaa tafuteni kazi nyingine
 
Nawashauri nendeni Sumatra mkashtaki lazima watawalipa tena haraka sana sana kwani Sumatra ndio kiboko yao!
 
Wazee hadii Leo tar 49 hakuna mshahara UDA hali tete hadi bank tumejulikana. Yaani ukiingia tu hadi walinzi wanajua. Vidada vya telling pale bank ni shida
 
Tofautisha wizi, marupurupu na mshahara wewe! Na si lazima uchangie hoja kama huna msaada. Wale wahudumu wa ofisi wanaiba nini? Usipende ku-generalize vitu, think before you punch.
 
Back
Top Bottom