Uchunguzi unaendelea

kuna ile usiku mlichelewa kutoka discussion asa asubuhi ukapotezea pindi na kuamua kulala, mara ghafla inaingia text kuwa lecturer anatoa quiz, hapo ndipo utaona vituko vya wadada waliochelewa.
 
Kuoga ni kuswaki na vipodozi ni mafuta tu je hiyo dakika5 mbona nyingi
 
unaweza kuwa kweli lakini wapo wasafi sana na wanakwenda kwa speed ile ile.hata ukitaka toka na mke kwa ajili ya safari fulani usipoangalia mtachelewa muda wa kutoka.mnajipamba na kujiremba sana na hamna tabia ya kujali muda.si wote ila wengi wa wanawake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…