Uchunguzi unaendelea

Wanaume au wavulana hawaogi kama amechelewa mahali na akiingia bafuni kuoga hapa kind sabuni ni ile kujimwagia maji tuu na kutoka au analowesha nywele ili aweze kuzichana. Laah anapiga mswaki tuu na kuna wa uso kisha anaenda kuvaa.

Chumbani hapaki mafuta, akija mtanashati atafaa deodorant ili asinuke kwapa. Nguo kama hakuandaa jana usiku basi atarudia kuvaa za jana ambazo amezitunduka kwenye heng'a. Huyooo a nawahi anakoenda.

Mwanamke au mschana lazima ajiswafi kuanzia uso kinywa makwapa chini ya manyonyo mgongoni shingoni kinenani katikati ya mapaja chini ya makalio nyuma ya magoti na kwenye nyayo. Hizo ni sehemu muhimu na za lazima mwanamke aziswafi kabla hajatoka hata kama ameamka kwa kuchelewa vinginevyo atachacha mchana wa jua kaliii. Ujue akija na haraka basi hadi kuchwa husafishwa bafuni pamoja na pua na katikati mwa vidole vya mikononi na miguuni.

Akiingia chumbani kuna mafuta kama ana tatu hivi na yote lazima yapakwe. Halafu deodorant kisha body spray halafu avae nguo iwapo aliziandaa tangu jana yake kama hakuandaa hapo kuna nusu saa nyingine ya kupoteza kuangalia avae nini na kitu kipi na pochi ipi kisha anyooshe ndo avae. Halafu anahamia kwenye dressing table, wanna mascara poa enjoy face foundation lipstick lisp shine hereni mkufu saa kikuku bangili kishaufu nk.

Kisha anahamia kichwani kama ni za kuchwa basi atajishauri azibanaje, kama anavaa wigi basi litabanwa na kupuliziwa spray, kama ni nywele fupi basi kitaa kitahusika.

Mwisho ajipulizie perfume ajira Kiki kwenye kioo kikubwa kuwa yuko sawa au abadili blouse au skirt auntie wigi.... hapo yuko nyuma ya muda.... na akija anatoka kama ni gari basi ache maagizo nyumbani atoe nguo za kufuliwa nk. Kama anatumia usafi wa umma basi ampigie dreva bodaboda am fate au bajaji au ndo aanze kutegeshea lifti za majirani au atembee mdogo mdogo ila anajiamini kuwa yuko sawa.

Hii ni sawa na muda wanaotumia chooni kwa wake na wanaume. ... wanaume wanaotumia muda mfupi ila wanawake muda mrefu cause of some factors above.

Nawasilisha.
 
Umemaliza

[emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Wanawake wa dotcom nyie, MM huwa namwona wife akikaa kwenye dressing table hadi nakereheka.
 
Duh sio poa
 
amekoment pumba. mwambie no. ya mteja anayopiga haipatikani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…