amongidion Member Joined Jun 9, 2021 Posts 76 Reaction score 111 Sep 4, 2021 #61 brazaj said: Kikubwa ni kuwa kufahamu ukweli husaidia kuepuka madhila mengine yenye ukakasi kama haya. Click to expand... Je Mtu anawez fany tukio la kigaid na asiitwe gaidi?
brazaj said: Kikubwa ni kuwa kufahamu ukweli husaidia kuepuka madhila mengine yenye ukakasi kama haya. Click to expand... Je Mtu anawez fany tukio la kigaid na asiitwe gaidi?
M Mangi Mlay JF-Expert Member Joined Dec 18, 2016 Posts 5,743 Reaction score 7,106 Sep 4, 2021 #62 Majina yake mawili tu tayari yanamfanya awe Gaidi pili msomali
mkorinto JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 32,086 Reaction score 39,585 Sep 4, 2021 #63 Erythrocyte said: kinachonisikitisha ni hasara aliyoipata Wambura , weledi wote aliokuwa nao umezikwa rasmi Click to expand... kwa sababu tu hajasema hamza aliporwa dhahabu!!! nyie watu,mnaendekeza siasa za mitaroni sana aisee.
Erythrocyte said: kinachonisikitisha ni hasara aliyoipata Wambura , weledi wote aliokuwa nao umezikwa rasmi Click to expand... kwa sababu tu hajasema hamza aliporwa dhahabu!!! nyie watu,mnaendekeza siasa za mitaroni sana aisee.