Uchunguzi katika Viwanja vya Ndege

MAMMAMIA

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
3,811
1,603
Mnaojipitisha kwenye viwanja vya ndege na kukaguliwa kwa kisingiozio cha kutafuta magaidi, mtambue kila ulichonacho, kila ulivyo, unaonekana. Wanakucheeeeeeeeeka!

January Statistics On Airport Screening From The Department Of Homeland Security:

Terrorists Discovered
0
Transvestites
133
Hernias (Mabusha)

1,485
Hemorrhoid Cases
3,172
Enlarged Prostates (Visiki virefu)

8,249

Breast Implants
59,350
Natural Blondes

3

Ha ha ha ha, uwiiiiiiii
MAMMAMIA, you just crazy.

Wamesahau
rastafarians hair under clozesi 57621498
 
Last edited by a moderator:
hahaha loh! Ndo maana nashauri kutumia usafiri usio na gharama, kupaa na 'ungo'
 
Mimi kutokana na taaifa hii, nimeamua kuBADILI TABIA. Nasubiri kibali tu toka Wizara ya Ulinzi na Idara ya Anga nianzishe safari za kibiashara.

Bora hata hii njia ya usafiri unajua kusafiri ukiwa umevaa birthday suit kunahusika!so gardening and deforrestation activities zitafanywa mapeema!
 
Bora hata hii njia ya usafiri unajua kusafiri ukiwa umevaa birthday suit kunahusika!so gardening and deforrestation activities zitafanywa mapeema!

tena uzuri wa ndege hizi zinaweza kutua chumbani kwako, hakuna wakukuchunguza
 
Bora hata hii njia ya usafiri unajua kusafiri ukiwa umevaa birthday suit kunahusika!so gardening and deforrestation activities zitafanywa mapeema!
Hahaha! Tatizo lake bado hatuna viwanja maalumu vya kutulia. mara unashitua unatua juu ya paa la nyumba au unaangukia uwani.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom