Uchungu wa mwana aujuaye mzazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uchungu wa mwana aujuaye mzazi

Discussion in 'Jamii Photos' started by Nyadhiwa, Jan 16, 2011.

 1. Nyadhiwa

  Nyadhiwa JF-Expert Member

  #1
  Jan 16, 2011
  Joined: Jun 21, 2010
  Messages: 266
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Katika pita pita zangu nimekutana na ugomvi huu wa ngedere na mbwa. Mbwa alikuwa akitaka kumla mtoto wa ngedere (ngedere mdogo). Uchungu wa mwana aujuaye mzazi.jpg Mama mwana na adui.jpg
   
 2. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #2
  Jan 16, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  wow, great heroes! big up moms
   
 3. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #3
  Jan 16, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Ulongo hamuachi tu, tueleze umewakuta mtaa gani?, kwa taarifa yako hawa wanyama wanatumiwa kule india, wanafanya michezo wapitanjia wanalipia, hapa hakuna attack wala rescue. Acha ulongo, kalale.
   
 4. s

  shosti JF-Expert Member

  #4
  Jan 16, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  nani kama mama!!!
   
 5. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #5
  Jan 17, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Anaitwa Asha ngedere lol:smile-big:
   
 6. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #6
  Jan 17, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  "mama ninakupenda sana"
  "mama ninakujali mwanao"..

  "uchunu wangu mimi mwana aujua yeye mama"
  "na uchungu wa mama yangu naujua mimi kinda lake"...lol
  Mr.Nice
   
Loading...