Uchungaji vs Ndoa!!


Kuwa kwenye ndoa hakuwafanyi mumwe mmoja

Wote mmelelewa tofauti,malengo yenu ya kuingia ndoani yanaweza kuwa tofauti pia

Kilichowaunganisha kwenye hiyo ndoa ni kingine ambacho hakihusiani na kazi zenu

Hivyo basi na kwenye eneo hili mahitaji nayo hutofautiana pia
ICHANA ameongea jambo la msingi sana aliposema wakatio wa kuchagua mke/mume ndio wa muhimu sana

Kama uliamua kuolewa/oa nesi usilalamike pale ambapo anapokuwa shifti ya usiku!
 
Last edited by a moderator:

Hapo kwenye "kutengana kwa muda" ndipo penye utata

Kwanza kumbe ni sawa "kutengana"
Pili kumbe kuna muda,je unajua hata wiki ni "muda"?
 

Umeonaee that the point mama mchungaji lazima uwepo kwenye huduma na mfungo lazima ufunge kama huna tatiZo la ugonjwa au ujauzito na yye ndo wakumuombea mumewe awe na nguvu za roho mtakatifu kwa maana bila maombi mfungo sio kazi rahis

Mm naona tatizo ni huyu mama hakufanya maamuzi sahihi alipotKa kuolewa na mchunguaji
Pia wanaume wajitahid kutafuta wa ubavu wao sio kuvamia kisa ni mzuri/mwimba kwaya/ anajua kuomba hadi bhaas

Wafanye maombi kwa maana kazi ya kutoa huduma za kiroho sio rahis kiivyo na maombi ya mke/ familia yanahitajika sana sasa kama huna mke wenye uwepo wa roho mtakatifu unakuta huduma zinadorora tuu.
 
Tena mambo ya kiroho yakimwingia sana mtu, anakuwa hafiki. Haviki wapi vile? Wapendwa msiniue ila nilishawahi soma mahali sababu ya ile guilty konshazi kuwa 'ni dhambi'. Labda ikikomaa sana inaextend hata ndoani.

Hembu baelezee
 
Ukiwa na mawazo ya ngono hautajenga ndoa,tendo ni kwa ajiri ya uzazi sio starehe.
 
Huyo mama subiria roho mtakatifu amuingie

Ha ha ha miaka labda 800 Roho mtakatifu haingii ivi ivi
Anataka league ya maana ya mgegedu afu mumewe anaweka ratiba na mambo ya Roho mtakatifu
 

Asante dada....u said it all
 
"Mume atimize wajibu wake wa ndoa kwa mkewe; nahali kadhalika mke kwa mumewe.Kwa maana mke hatawali mwili wake mwenyewe, bali mume wake ndiye autawalaye. Vivyo hivyo,mume hatawali mwili wake mwenyewe, bali mkewe ndiye anayeutawala.Msinyimane,isipokuwa kama mmekubaliana kufanya hivyo kwa muda mfupi ili muwe na nafasinzuri ya maombi. Lakini baada ya muda huo rudianeni tena shetani asije akapatanafasi ya kuwajaribu kwa sababu ya kushindwa kujizuia"


1 Wakorintho 7:3-5
 
niliwahi hudhuria sijui ndo niseme Inauguration ya mchungaji, nadhani mkewe pia anakuwa pale mbele ni kama kumsupport mumewe katika kazi yake. Najua kwa sisi wengine ambao hatujaolewa na wachungaji kila mtu ana yake, lakini pia hatuzuiliwi kusaidia au kushauri waume zetu katika kazi zao. Naweza kukuambia kuwa mimi ni mshauri nambari moja kwa mume wangu..... mambo ya ofisini, familia, ukoo, n.k. ananiamini sana katika kutoa ushauri, na hata kama kachemsha huwa namwambia live kuwa hapa rafiki hukuwa sahihi, nampa honest opinion.
Sawa hatupo wamoja, lakini ni mbaya sana kujiondoa kabisa uhusika wa maisha ya mwenzio, hiyo haitaitwa ndoa tena
 
Thank you.....
you have complemented what I just said.......
Stay Blessed ma!
 
Haya mambo yapo si kwa wachungaji tu hata kwa waumin,wakat mwingne mama anaweza kuwa ndo yupo kiroho zaid kuliko mumewe ikaleta shida.

Kwa wale ambao wote wapo rohoni ni vizuri wakati wa uchumba wakajuana vizuri na hasa huduma zao ili kuepusha migogoro hapo baadaye,ni ngumu wote kuwa sawa ila kwa kiwango fulan wanakuwa wanaendana kimatakwa.

Kwa wale ambao imetokea mmoja wapo akaja kuokoka badaye hana budi kumuhudumia mwenzake huku akijitahidi kuomba hekima ya Mungu iamue katikati yao.

Tendo la ndoa ni ibada takatifu,hvyo ili ibada ikamilike haitakiwi mmoja wapo kuwa na kinyongo,kwangu mie kumpatia mwenzangu haki yake nikiwa nimefunga sion tatizo kabisa kwanza nakuwa ibadan pia ,labda niwe nimechoka sana ambapo ni kawaida ukiwa umechoka huwezi kufanya tendo la ndoa,yaan kama ni mfungo wa masaa 12 ndo kabisa sioni shida labda iwe mfungo wa siku 2 au 3 kavu, na ikitokea hivyo huwa namuomba Mungu amfanye mwenzangu kunielewa.

Mtume Paulo anasema anatamani watu wote wawe kama yeye ila kwaajili ya tamaa kila mwanaume awe na mke wake mwenyewe kadhalika na kila mwanamke awe na mume wake mwenyewe,kiukweli kumtumikia Mungu na ndoa ni kazi wakati mwingine, mume atatumia muda wote kumpendezesha mke,kadhalika na mke pia,lakini mtu akiwa single hujitoa kikamilifu kwa Bwana.( 1 Wakoritho 7: 1-11)
 

Asante sana .....!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…