Ina maanisha tuna watu wengi ambao hawazalishiUkubwa wa uchumi wa 10
kipato cha wananchi wa 28...
interesting...
Sababu population kubwa compare to GDPUkubwa wa uchumi wa 10
kipato cha wananchi wa 28...
interesting...
Naona Misri inarudi kwa kasi baada ya kupotea kwa kipindi kifupi.
na ina manisha mapato mengi yanatokana na sekta ambazo watanzania hawashiriki kikamilifu ktk uzalishajiIna maanisha tuna watu wengi ambao hawazalishi