Acheni comedy unawatangazia watu uchumi wa Kati halafu likija suala la kuongeza mishahara unawaambia watu Hali ya kifedha siyo nzuri. Ndivyo tulivyoishi miaka 7 tukidanganywa na kupuliziwa
Yule mzee kaharibu sana hii nchi inabidi afukuliwe asomewe mashtaka ikiwezekana afungwe kabisa hata miaka mitano au mwili wake uwekwe uwanja wa taifa kila mtanzania atakayepata nafasi amuweke kiboko kimoja,kiukweli katupitisha nyakati ngumu sana kama nchi