Uchumi wa Afrika kuporomoka

Uchumi wa Afrika kuporomoka

Hahaha, sidhani kama hii taadhari inatuhusu Tanzania a.k.a "Dona Kantre". Hapa Corona haipo kiivyo sasa kwanini na sisi tujumuishwe na wenye Corona?!

Hao hao World bank walisema wanatoa ule mkopo wa elimu, waulete tugawane pesa tuzizungushe tukuze uchumi wetu.

Wakistaajabu tutawakopesha baada ya kuwalipa.
 
Back
Top Bottom