Habari ndugu zangu, kuna swali ambalo huwa linanisumbua kichwa changu muda mrefu.
Hivi Ili inchi itengenezewe au ichapishiwe pesa yake huwa unafanyika utaratibu gani? Inalipia pesa kwa ajili ya kutengeneza hizo pesa? Na kama inalipia au halipii, kiasi ambacho kinatakiwa kutengenezwa wanakijuaje?