Chereko tena
JF-Expert Member
- Dec 9, 2019
- 467
- 520
Great thinker makes obstacle to be the way,impossible to be possible,just a dialogueUgonjwa wa Depression Bipolar ni hatari sana
Du sasa sijui umeongea nnKuna haja yeyote ya kuwa na vyama vingi nxhini huku tukipoteza bilions of money iatika hughuli za kampeni,itungwe katiba yenye kuonesha dira ya taifa,Kila kiongozi aifuate na aiheshimu vinginevo awajibishwe mfano mwaka huu pesa mingi kutumika,wasomi wawe creative katika uzalishaji katiba iwe imetokana na selected independent elites like judicial,exonomist,etal
Wasomi kama Pole pole,Mwakyembe ,Rutengwe au Bashiru> Sijakuelewa!Kuna haja yeyote ya kuwa na vyama vingi nxhini huku tukipoteza bilions of money iatika hughuli za kampeni,itungwe katiba yenye kuonesha dira ya taifa,Kila kiongozi aifuate na aiheshimu vinginevo awajibishwe mfano mwaka huu pesa mingi kutumika,wasomi wawe creative katika uzalishaji katiba iwe imetokana na selected independent elites like judicial,exonomist,etal
Naomba edit ielewekeDu sasa sijui umeongea nn
Dr, ShikaWasomi kama Pole pole,Mwakyembe ,Rutengwe au Bashiru> Sijakuelewa!
Ukitaka maendeleo bila siasa za mfumo wa vyama rudisha ukoloniNaomba edit ieleweke
Mbona uswiswi hakuna campaign hakuna vyama vingi,rais anateuliwa Kila mwaka among the 8 cabinet members,na inakuwa rotation yaani Kila waziri lazima atakuwa rais labda aondoke kwenye cabinet
Kuna haja yeyote ya kuwa na vyama vingi nxhini huku tukipoteza bilions of money iatika hughuli za kampeni,itungwe katiba yenye kuonesha dira ya taifa, Kila kiongozi aifuate na aiheshimu vinginevo awajibishwe mfano mwaka huu pesa mingi kutumika,wasomi wawe creative katika uzalishaji katiba iwe imetokana na selected independent elites like judicial,exonomist,etal
Sijalewa mkuu au ndo wale maandamano Hadi viroba na bahati mbaya mkuu kavipeleka kuzimu,ndio maana vijana hawaandamaniKwani ukilewa lazima uje ututambie humu ndani? Basi hongera kwa kulewa.
Sijalewa mkuu au ndo wale maandamano Hadi viroba na bahati mbaya mkuu kavipeleka kuzimu,ndio maana vijana hawaandamani
Hapana Jenga hoja,tupingane kwa hoja tuone sio ulivocoment,Ukilewa panda kitandani lala, acha kuanzisha mada za kilevi. Hili mada yako ni ya mlevi.
Duhhh hata Galilei Galileo alidhihakiwa lakini baadae alikuja kuheshimiwa,tiririshaa hoja sio viojaUkilewa panda kitandani lala, acha kuanzisha mada za kilevi. Hili mada yako ni ya mlevi.
Mkuu communist/capitalist havikwepeki,lakini Kama jumuiya mnaweza chagua vyenye manufaa mnavoona vinawafaa,Ni wazo langu tu sio la wengine,mbona nyerere alikuwa Western na Eastern block akawa safe,mnaweza mkaachana na multipatism mkahimiza utendaji na elimu ya kizalendo ikatiliwa mkazo chini ya katiba yenye afya mkapiga hatua,lakini anyway Ni wazo langu tu,mnaweza mkasoma falsafa ya vyama vingi mkaja na dira Kama taifa,vitabu vya fasihi vimejaa hafai kuigwa wakati huyo huyo ndio anamiliki uchumi awe fisadi au Nani,walimu kule Ni balaa wafundishe mbinu za kupata fedha,mfano juma aliiba Ni tabia mbaya ila hata hivo alivoiba alitajirika na familia yake iliishi maisha mema na kwao aliweka lami hivo Basi kujitoa muhanga Ni mbinu nxuri,ila hata Kama unaiba usiibe kwenu ukapeleka kwa jirani iba kwa jirani ulete kwenu-ndio maana nakarbia kutoa kitabu changu kitaitwa chozi,maswali ya kifasihi kama fasihi haijamkomboa mtu masikini,au fasihi Ni mbwa asie na meno yamekuwa yakitanda kichwani kwangu-fasihi ya leo ije na talsafa ya goli la mkono,ushindi Ni ushindi kikubwa nyumbani utukuzwe Kama goli la mkono la Thierry HenryHaya mambo ya kuishi kwa kufuata philosophy ni mbaya sana. Yaani asilimia kubwa ya nchi ambazo viongozi wao wakubwa walikaa ki falsafa tena falsafa mchwara ambazo zina malengo ya kujaza vitabu na kufurahisha umma zaidi walifel na ndio nchi zao mpaka sasa zina deteriorate na hali ni ngumu. Angalia falsafa za akina Lenin zimeisaidia Urusi ikafika pale ilipo. Ni lazima uangalie ni muda gani sahihi wa kuact na sio kupamia eti mbona yule kaweza. Lenin alijua kuwa ule ndio muda sahihi wa kuwa mkomujist na kweli hata great economic crisis ilipo tokea haikuikumba Russia. Sasa karne ya 21 tuletee ukomunisti eti kisa Urusi aliweza...(Hili ni povu tu)
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hakuna haja yeyote ya kuwa na vyama vingi nxhini huku tukipoteza bilions of money katika shughuli za kampeni badala ya kuziwekeza katika kukuza uchumi na Pato la taifa, itungwe katiba yenye kuonesha dira ya taifa na Kila kiongozi aifuate na aiheshimu vinginevo awajibishwe tuachane na mfumo wa vyama vingi mfano mwaka huu pesa mingi kutumika,wasomi wawe creative katika uzalishaji ,katiba iwe imetokana na selected independent elites like judicial,exonomist,etal
Mkuu communist/capitalist havikwepeki,lakini Kama jumuiya mnaweza chagua vyenye manufaa mnavoona vinawafaa,Ni wazo langu tu sio la wengine,mbona nyerere alikuwa Western na Eastern block akawa safe,mnaweza mkaachana na multipatism mkahimiza utendaji na elimu ya kizalendo ikatiliwa mkazo chini ya katiba yenye afya mkapiga hatua,lakini anyway Ni wazo langu tu,mnaweza mkasoma falsafa ya vyama vingi mkaja na dira Kama taifa,vitabu vya fasihi vimejaa hafai kuigwa wakati huyo huyo ndio anamiliki uchumi awe fisadi au Nani,walimu kule Ni balaa wafundishe mbinu za kupata fedha,mfano juma aliiba Ni tabia mbaya ila hata hivo alivoiba alitajirika na familia yake iliishi maisha mema na kwao aliweka lami hivo Basi kujitoa muhanga Ni mbinu nxuri,ila hata Kama unaiba usiibe kwenu ukapeleka kwa jirani iba kwa jirani ulete kwenu-ndio maana nakarbia kutoa kitabu changu kitaitwa chozi,maswali ya kifasihi kama fasihi haijamkomboa mtu masikini,au fasihi Ni mbwa asie na meno yamekuwa yakitanda kichwani kwangu-fasihi ya leo ije na talsafa ya goli la mkono,ushindi Ni ushindi kikubwa nyumbani utukuzwe Kama goli la mkono la Thierry Henry
Kabisa mkuuHaya mambo ya kuishi kwa kufuata philosophy ni mbaya sana. Yaani asilimia kubwa ya nchi ambazo viongozi wao wakubwa walikaa ki falsafa tena falsafa mchwara ambazo zina malengo ya kujaza vitabu na kufurahisha umma zaidi walifel na ndio nchi zao mpaka sasa zina deteriorate na hali ni ngumu. Angalia falsafa za akina Lenin zimeisaidia Urusi ikafika pale ilipo. Ni lazima uangalie ni muda gani sahihi wa kuact na sio kupamia eti mbona yule kaweza. Lenin alijua kuwa ule ndio muda sahihi wa kuwa mkomujist na kweli hata great economic crisis ilipo tokea haikuikumba Russia. Sasa karne ya 21 tuletee ukomunisti eti kisa Urusi aliweza...(Hili ni povu tu)
Sent from my iPhone using JamiiForums