Bitcoinbase
JF-Expert Member
- Jul 17, 2016
- 319
- 285
Maisha ya mahusiano ya siku hizi
1. Jipende , jithamini , jali afya kula vizuri , pendeza.
2. Piga kazi ,, tafuta pesa ,, weka malengo .
3. Katika yote hayo mtangulize Mungu ,,,usisahau sala kila uingiapo na kutoka .
Nawe utakuwa mwenye furaha mengine ni ziada.
PENDA KUJIBEBA HAKUNA WAKUKULETEA FURAHA ...
Mke mwema atakuja tu kwa wakati wake ukifika ,,, usiseme nachelewa au mbona wenzangu tayri wameolewa au wameshaoa.
To be single , doesn't mean that , you are not good enough to fit with some one .. In fact you are great that , you cant just give your dignity and love to anyone around the streets.
Calm down ,,, remember even Abraham was blessed at his very old age.
Live peacefully and do good deeds.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo inawezekana ni dili amecheza huyo mchumba wako alitaka akuache akakosa njia sahihi basi akampanga rafiki yake ili atume hiyo meseji ukiwa na mchumba wako
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi nimefikiria hili wazo huenda ni ukweli. Emu fatilia kiundani zaid utajua tuHapo inawezekana ni dili amecheza huyo mchumba wako alitaka akuache akakosa njia sahihi basi akampanga rafiki yake ili atume hiyo meseji ukiwa na mchumba wako
Sent using Jamii Forums mobile app
Usijiaminishe hvo mkuu kwa mwanamke.Asante kwa kuchangia. Inawezekana, lakini huyo mwanamke ananipenda sana...na ananihitaji sana katika maisha yake,ila kibinadamu ameshindwa kuhimili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka usihangaishe kichwa demu wako kakuchoka hebu zinduka usingizini usitumie Nguvu kubwa ukweli ndio huo hiyo yote ni mipango yakeAsante...shida ni kwamba nmetumia watu kama wa4,nmewapa no ili wamfuatilie lakin hajibu sms wala calls....na mara nyingi hapatikani
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo ndo mwanamke so ogopa kuanzia leo kiumbe anaeitwa mwanamke.Habari wadau. Heshima kwenu.
Asanteni kwa kuchangia uzi wangu na kunishauri.
Naomba kutoa mrejesho.
Ukweli ni kwamba huyo niliyekuwa namchukulia kama mchumba wangu kipindi tunaanza mahusiano aliniambia yeye ni single, tena single wa muda mrefu. Kumbe alikuwa na mtu wake ambae wapo nae kwa muda wa kama miaka miwili na walishafanya mengi ya pamoja. Shida ni kwamba walikuwa na migogoro ya hapa na pale na huyo mtu wake....kibaya zaidi huyo jamaa yake alikuwa ni mtu wa kusafiri anaweza asiwe karibu na mwanamke wake huyo karibu hata kwa miezi mitatu. Kipindi anaanza na mimi hakuwa karibu na huyo mtu wake. Kiukweli tulipoingia kwenye mahusiano alinionesha mapenzi ya hali ya juu zilikuwa hazipiti dakika tano bila kunambia nakupenda tukiwa wote....na nikijibu nampenda pia, anasema ndo unioe jamani....tulikuwa tunakuwa nae karibu mara nyingi ananipikia na kufurahi.....sikuwahi kuhisi kama kuna tatizo mpaka ilipotokea issue ya ile conversation....... Ilipotokea ile issue tulielewana na tukaendelea. Kumbe jamaa yake alirudi na hivyo akawa anatafuta mbinu ya kuniacha. Hata hivyo alishindwa namna ya kuniacha mpaka pale jamaa yake alipogundua. Ndo akamua kukata mahusiano na mimi akabaki na huyo jamaaa.
Asanteni kwa maoni yenu,maana yali-base kwenye ukweli.
#longLiveJamiiforums
Sent using Jamii Forums mobile app