Uchumba wangu umevunjwa

Mkuuu mwache aende tu kosa dogo kama hilo unalia lia kindezi. Kaza kiume akizingua mwache aende
 
Mkuu unajua ukijua huyo anayemlilia yupo level gani kimahusiano ndipo unapoweza toa ushauri wa kuponya ila usipojua hutaweza kutoa suluhisho timilifu. Kwa hiyo ushauri wa mgogoro wa Kimapenzi siyo sawa na Ushauri wa watu ambao wako level ya Uchumba.

Siyo kila Mwanamke mnayeshiriki naye kumalizana hamu ya Kingono kumpa hadhi ya kuitwa Mchumba. Mchumba tayari huyo ni Mke lakini huyo wa level nyingine mnakuwa kwenye volatile relationship muda wowote mahusino yanaweza sitishwa na pande mbili bila kuathiri pande yoyote ya Familia.

Bado namsubiria anijibu majibu yangu ndipo nitampa dawa ya tatizo lake.
 
Una hoja nzuri sana mkuu, lakini kwa jinsi nilivyo soma hoja za mleta mada..... naona ushauri wako kwake upo kwenye level ya juu kuliko kile anacho tamani kuiskia mleta mada.
Kama ukiweza kumuelewa zaidi mleta mada, utagundua kwamba amezidiwa na upendo alio mpa huyo anae muita mchumba wake. Na ukimsoma vizuri zaidi utagundua kwamba anaonekana alimpenda sana binti, na sasa anaumizwa na hisia na sio uchumba kama anavyo sema yeye
 
Mkuu mimi bado nipo palepale kwa kujua level ya Mahusiano yao. Kumbuka amemtambulisha kwetu kama Mchumba, hakumtambulisha kwetu kwa love intensity level aliyonayo. Kumpenda mtu sana siyo indication ya kumuita Mchumba ilihali hakuna ndugu wa kibailojia pande zote mbili anayemtambuwa.
Ili ushauri wangu umsaidie nitahitaji kujua juu ya maswali yangu Mkuu... Hata mgonjwa lazima achunguzwe ili kujua ni dawa gani itamfaa kwa ajili ya ugonjwa alionao. Hivyo ushauri wangu unatibu chanzo cha tatizo hautatuwi matokeo ya Tatizo. We need to advise him basing na source ya Tatizo.
Mfano tu ukimuuliza mleta maada ni mara ngapi amekuwa akipokea meseji kama hizo? Kama jiby litakuwa hajawahi... Litakuja swali la kutaka kujua kwa nini iwe siku? na bado utaenda mbali kwa kutaka kujua kwa nini siku hiyo huyo Mchumba mtu alikuwa detailed kuangalia kinachotokea kwenye simu ya huyo Mshikaji? haya yote ni matokeo ya chanzo fulani.. accumalated relationship reservations..

Kwa hiyo Mkuu mimi naomba anijibu tu tumaswali twangu
 
Ata kama ningekuwa mm,,,nisingekuelewa kirahisi,,,,,ila kama MUNGU ndo kakupa uyo mchumba aje kuwa mkeo,,,,Atakuelewa it's better uachane na uyo aliyekuharibia na kufocus na mchumba wako ili muwe sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Demu kama anakupenda lazma angekuwa mwelewa,unajua kitu kama so kwel hta moyo huw unaongeaa,, uyo katafuta njia ya kukuacha kapata nigga mwngne anampa kiburi


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mpenzi wako atarudi tuu. Wapenzi hawaachani kwa mambo madogo kama hayo, wewe tulia tuu fanya mambo yako na tuliza akili yako yeye mwenyewe atarudi labda kama nayeye ni sehemu ya hiyo sms.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jamaa dreams and visions Cha kufanya ye Kama alikuchezea mchezo nawe jaribu kumchezea mchezo mwambie mipango uliyo ifanya hope umefanikisha ila tambua kua najua mchezo ulio nichezea. Afu subir respond yake
 
Wadau asanteni kwa comments zenu.
Kuhusiana na level ya uchumba wetu ni kwamba,kuna ndugu wachache wanafahamu kuw tupo wote, na nmekuwa na ujasiri kumuita mchumba kwa sababu wote tuna lengo moja la kuoana siku zijazo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke wako hakuwa serious naww why achukue uamz kama huo ilihali anaona no yenyewe hukuwa umeisave pia alitakiwa kuwa na maamuz ya busara had kufkia suluhu, mwanamke mpumbav huvunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe(ila samahan kama nitakuwa nimetumia lugha mbaya)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka si sms moja....Ni conversation kabisa....kuna attachment nimetuma,tafadhali pitia,utaelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
Sms zilipoingia simu ilikuwa wapi? Umeshika wewe au mchumba au ipo pekee yake? Kama pekee yake nani alianza kuishika mliposikia msg zimeingia? Kama ni wewe uliposhangaa hiyo msg ndiyo mchumba kaanza kuondoka? Na kama ni mchumba ni kawaida yake kupokea simu/sms zako Mara tu zikiingia? Kwa hayo maswali ukipata majibu unaweza kuelewa mchezo ulipoanzia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…