Arabi Nanjewa
JF-Expert Member
- Sep 22, 2017
- 325
- 411
Mkuu mbona unarudia makosa ya kiufundi, haukutakiwa kufanya uchunguzi wa aina hio mkuu, kwanza itabidi ufaham huyo demu anafaham kuwa anafatilia umjue, hivyo yuko makini sana na mawasiliano yake, mbinu za kufanikisha kumjua muhusika na mpango uliaanzaje its very simple, find originAsante...shida ni kwamba nmetumia watu kama wa4,nmewapa no ili wamfuatilie lakin hajibu sms wala calls....na mara nyingi hapatikani
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ujinga na ubishi Dogo, wewe Inaonekana Mgeni Sana kwenye hizi gemu! Sikiliza unayoambiwa! Hujawahi kukutana na pretenders wewe eegh? Umezama mazima kirahisi hivyo!!Asante kwa kuchangia. Inawezekana, lakini huyo mwanamke ananipenda sana...na ananihitaji sana katika maisha yake,ila kibinadamu ameshindwa kuhimili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka asante. Uelewa wangu ni mdogo ndo maana nkaomba msaada. Ila kwa uelewa wangu mdogo nmefanya yafuatayo. Nmeangalia tigo pesa, jina kweli ni Veronica lakini sijawahi kuwa familiar na hilo jina. Nme-search hilo jina na number Facebook lakini hakuna details.... Nmeangalia whatsap...hayupo whatsap...nmewapa watu wangu wa karibu hiyo no wachunguze,lakini hajibu calls wala sms. Naomba msaada wako, nmesema uelewa wangu ni mdogo.kitendo cha kuja na sms za kitoto kama hizi kweli mwanamke wako anastahili kukukimbia....tulifanyiwa o-level hv....chukua namba icheki tigo pesa jina...ukishalipata change simu au mpe mwanamke anza kumchunguza..sio kulialia tu hapa
Fanya uchunguzi vizuri mkuu Mimi iliwahi nitokea hii mwanamke hadi analia analalamika namsaliti lakini kumbe mpango aliandaa mwenyewe mwisho akaniacha nikafuatilia nikagundua alikua ni yeye kaandaa mpango nikapiga kimyaa baada ya miezi miwili akarudi turudiane, moto uliwakaAsante kwa kuchangia. Inawezekana, lakini huyo mwanamke ananipenda sana...na ananihitaji sana katika maisha yake,ila kibinadamu ameshindwa kuhimili.
Sent using Jamii Forums mobile app
nimewaza ivo pia maana mtu ukimchoka alf huna njia ya kumuacha hutumia njia iyo.Hapo inawezekana ni dili amecheza huyo mchumba wako alitaka akuache akakosa njia sahihi basi akampanga rafiki yake ili atume hiyo meseji ukiwa na mchumba wako
Sent using Jamii Forums mobile app
Nisaidie ndugu.Mkuu mbona unarudia makosa ya kiufundi, haukutakiwa kufanya uchunguzi wa aina hio mkuu, kwanza itabidi ufaham huyo demu anafaham kuwa anafatilia umjue, hivyo yuko makini sana na mawasiliano yake, mbinu za kufanikisha kumjua muhusika na mpango uliaanzaje its very simple, find origin
Hapo inawezekana ni dili amecheza huyo mchumba wako alitaka akuache akakosa njia sahihi basi akampanga rafiki yake ili atume hiyo meseji ukiwa na mchumba wako
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana kwa ushauri wako. Huyo mwanamke alichukua no za muhusika na adai huyo muhun anamtukana, anadai mimi nmemtelekeza huyo anaedai ni mpenzi wangu baada ya kumpa mimba.Nimewaza the same, usijiumize sana inawezekana mtu wako alishapanga kukuacha ila hana ground ya kufanya hivyo akaamua kufanya umafya aidha na rafiki yake wa kike,, au hata mwanaume wake mpya anayependa kuendeleza naye urafiki..
Inauma sana maana lijamaa litakuwa kishaanza kumtafuna...
Kama kweli angekuwa anakupenda kutoka moyoni hawezi kukuacha kirahisi hivyo lazima angekuhoji, angechukua namba ya huyo mdada amtafute ajue ukweli,, asingekurupuka na kuondoka.
Hilo dili mwana acha kuumiza sana akili. Najua inauma ukiachwa bila kutarajia,, kisaikolojia inaumiza sana,,
Fanya yafuatayo
1. Kwanza jiulize kabla yake mbona ulikuwa unaishi vizuri tu,, hata sasa utaishi vizuri tu kwanza kakuondolea mikosi
2. Piga maombi kwa sana,, mshukuru Mungu kakuondolea huyo yumkini huko mbele angekuja kukuletea madhara.
3. Kama unamtafuta na haangaiki na wewe mwandikie mesage ya kumuaga kabisa ajue umetoa moyoni mwako maana hakuwa na mapenzi ya dhati kwako..
4. Mwana tafuta hela..., piga maombi kwa sana
5. Tafuta hela mwana..., usimwache Mungu piga maombi,
6. Nasema hivii piga hela ndefu....usisahau sala
7. Tafuta hela..., ibada kwa sana
8. Achana na mademu uchwara tafuta hela, maombi kwa sana
9. Tafuta helaaaa, mtafute Mungu
10.Utaishi kwa raha sana.
Hivi majini hayana smartphone mbona ya yule puker alikua anawasiliana nae kwa smartphoneHahahah huyo ni manzi anaekujua na ameamua kukuharibia style makusudi tu. Tuliza kichwa taratibu utamgundua otherwise wataalamu watakuja na ngonjera za jini mahaba. Sasa sijui majini wanatumia smartphone sikuhizi!
Wadau, Mimi ni mwanaume....kuna tatizo limenikumba na kuharibu uchumba wangu. Nilikuwa na mchumba wangu nyumbani kwangu,mida ya saa 5 usiku. Kabla hatujalala tukiwa wote,wakati huo nilikuwa niki-set alarm huku mchumba wangu akiiangalia simu yangu,ghafla iliingia sms ya mahaba mazito kutoka kwa mtu nisiyemfahamu.....kulingana na sms hiyo alidai kuwa amemisi penzi langu sana na angetamani tuonane,hivyo nimfuate au kama nipo bize aje yeye..Kiukweli nilichanganyikiwa na mwanamke wangu alishindwa kunielewa. Nkampigia simu hakupokea, akadai yupo kwenye makelele akitoka atanipigia. Nkamuuliza wewe ni nani ....akadai yeye ni Vero mpenzi wangu. Wakati mimi sijawahi kuwa na mpenzi wala mtu wa karibu au ambae nina mazoea nae tu,anaeitwa Vero. Nilipoendelea kupiga simu yake hakupokea akadai atanipigia soon..... Mwanamke wangu alishindwa kunielewa na akaondoka usiku ule. Alipoondoka nilimtafuta huyo muhuni lakin hakupokea simu,akidai yupo kwenye sherehe ....akitoka atanitafuta,lakini mpaka napaandika uzi huu sijapokea simu yake na mara nyingi hapatikani.
Wadau naomba mnisaidie nitamfahamu vipi huyu mtu ambae lengo lake ni kuniharibia mambo yangu.
Naambatisha na "conversation" tulofanya na huyo muhuni.View attachment 1002396
Sent using Jamii Forums mobile app
Au ni dume tu linamtaka huyo mchumba wake ndio maana halipokei simuHahahah huyo ni manzi anaekujua na ameamua kukuharibia style makusudi tu. Tuliza kichwa taratibu utamgundua otherwise wataalamu watakuja na ngonjera za jini mahaba. Sasa sijui majini wanatumia smartphone sikuhizi!
Sasa umepigiwa jana unategemea leo atapokea kiongozi...upelelezi unaweza chukua hata mwezi..we sasa jaribu mrudia mchumba wako na kumueolekeza..ingawa sio dalili nzuri kuondoka bila kusikiliza upande wako wa shillingi anamengi anafichaKaka asante. Uelewa wangu ni mdogo ndo maana nkaomba msaada. Ila kwa uelewa wangu mdogo nmefanya yafuatayo. Nmeangalia tigo pesa, jina kweli ni Veronica lakini sijawahi kuwa familiar na hilo jina. Nme-search hilo jina na number Facebook lakini hakuna details.... Nmeangalia whatsap...hayupo whatsap...nmewapa watu wangu wa karibu hiyo no wachunguze,lakini hajibu calls wala sms. Naomba msaada wako, nmesema uelewa wangu ni mdogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee, mimi nikikufuma na meseji ya mahaba ndio itakuwa mwisho wetu umesikia babu?Kwa mimi mwenye uzowefu kwenye hii sekta ya mahusiano, naomba nihitimishe kwa kusema kwamba.....Huyo mwanamke alikua hakupendi, na alikua ana target umkosee ili apate strong reason ya kukuacha.
Kimsingi ipo hivi...... Mwanamke kama anakupenda, hata ikitokea amekufumania ukiwa kifuani mwa mwanamke mwingine huyo hawezi akakuacha ama lahh, atakupa nafasi ya kukusikiliza basi hata umdanganye na kisha maisha yaendelee.
Naomba kuwasilisha
View attachment 1002401
Kama ni hivyo atakusamehe mkuu ni reaction ya kawaida, ulitegemea aendelee kukukumbatia baada ya kitu kama hicho?Asante kwa kuchangia. Inawezekana, lakini huyo mwanamke ananipenda sana...na ananihitaji sana katika maisha yake,ila kibinadamu ameshindwa kuhimili.
Sent using Jamii Forums mobile app