dreams and visions
Member
- Jul 8, 2017
- 95
- 29
Asante kaka,kwa kuchangia......Hahahah huyo ni manzi anaekujua na ameamua kukuharibia style makusudi tu. Tuliza kichwa taratibu utamgundua otherwise wataalamu watakuja na ngonjera za jini mahaba. Sasa sijui majini wanatumia smartphone sikuhizi!
Asante kwa kuchangia. Ila kwa sababu za kiusalama, haitafaa...nadhan unalielewa hilo.Weka number yake kwanza za wote wawili halafu nitoe ushauri ndugu
Ni kweli ntapata shida. Ndo maana nkaomba msaada hapa. Ila kwa jinsi conversation ilivyo, ni wazi kwamba huyu ni muhun flan na si mpenz wangu, kwa upande wangu mimi naelewa kuwa ni upuuzi flan...lakini mchumba wangu halielewi hilo.Ama kweli umeula wa MAWE mkuu hadi uje kumalizana na huyu muhuni mchumba wako kishapata muhuni mwingine pole sana kamanda.
Asante kwa kuchangia. Inawezekana, lakini huyo mwanamke ananipenda sana...na ananihitaji sana katika maisha yake,ila kibinadamu ameshindwa kuhimili.Hapo inawezekana ni dili amecheza huyo mchumba wako alitaka akuache akakosa njia sahihi basi akampanga rafiki yake ili atume hiyo meseji ukiwa na mchumba wako
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante...shida ni kwamba nmetumia watu kama wa4,nmewapa no ili wamfuatilie lakin hajibu sms wala calls....na mara nyingi hapatikaniTumia mbinu za kishushu ukweli utaujua mkuu, it can be game if mind huyo demu wako amemuaandaa mtu ili iwe over, ungeanza kuchunguza nyendo za huyo uliyejiaminsha mchumba wako, huenda alikua kazini hapo. Au kuna demu kajua leo uko na nani hapo gheto na Hafurahii na uhusiano wenu akaamua afanye hivyo. Kazi ndogo hiyo, kupata chanzo cha tatizo, unahitaji muda na kuzifanyia kazi hisia (HISI)
Nawasilisha
Hahaha was thinking the same kabisa! Huyu katafuta namna ya kuachana na jamaa wakaamua kucheza dili. Haiwezekani iingie text badala ya kukaa muongee myamalize wewe unanyanyuka na kuondoka.... Rahisi kihivyo?Hapo inawezekana ni dili amecheza huyo mchumba wako alitaka akuache akakosa njia sahihi basi akampanga rafiki yake ili atume hiyo meseji ukiwa na mchumba wako
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo mwanamke wako hakutaki, amekutengenezea mtego kusudi apate sababu ya kukukimbia...Wadau, Mimi ni mwanaume....kuna tatizo limenikumba na kuharibu uchumba wangu. Nilikuwa na mchumba wangu nyumbani kwangu,mida ya saa 5 usiku. Kabla hatujalala tukiwa wote,wakati huo nilikuwa niki-set alarm huku mchumba wangu akiiangalia simu yangu,ghafla iliingia sms ya mahaba mazito kutoka kwa mtu nisiyemfahamu.....kulingana na sms hiyo alidai kuwa amemisi penzi langu sana na angetamani tuonane,hivyo nimfuate au kama nipo bize aje yeye..Kiukweli nilichanganyikiwa na mwanamke wangu alishindwa kunielewa. Nkampigia simu hakupokea, akadai yupo kwenye makelele akitoka atanipigia. Nkamuuliza wewe ni nani ....akadai yeye ni Vero mpenzi wangu. Wakati mimi sijawahi kuwa na mpenzi wala mtu wa karibu au ambae nina mazoea nae tu,anaeitwa Vero. Nilipoendelea kupiga simu yake hakupokea akadai atanipigia soon..... Mwanamke wangu alishindwa kunielewa na akaondoka usiku ule. Alipoondoka nilimtafuta huyo muhuni lakin hakupokea simu,akidai yupo kwenye sherehe ....akitoka atanitafuta,lakini mpaka napaandika uzi huu sijapokea simu yake na mara nyingi hapatikani.
Wadau naomba mnisaidie nitamfahamu vipi huyu mtu ambae lengo lake ni kuniharibia mambo yangu.
Naambatisha na "conversation" tulofanya na huyo muhuni.View attachment 1002396
Sent using Jamii Forums mobile app