Uchokozi

Kwenye difenda ya polisi unakula kishoka.
 
Jamaa bhana Tena anaonekana mtu mwenye Heshima yake.
Anawapa hi. Kihoro Safi✌✌✌✌✌✌
 
Watu wamejichokea kweli. Yaan ameamua kuishi liwalo na liwe
 
Ha ha ha ha ha ha haaaaaaah, tena ni uchokozi wa hali ya juu
 
Hivi, ni amewaonesha



Au...?.
 
Saivi mabinduki yamekuwa kama mafimbo ya kuswagia ng'ombe hata hatuogopi tena
 
Leo Mbeya nimeshuhudia askari akiwa kwenye pick up zao akipiga pipooz ya kichini chini watu pawaaaaa!!! it was so cool. Wenzie wakawa wanaona noma ila dizaini nao wamefurahi.

Ila jambo la kushukuru Mungu leo watu wa Mbeya walikuwa wastaarabu mno na polisi walikuwa professional sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…