englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,209
hawa wana wake wa uganda wameandamana wanataka wanaume wa kuwaoaWhat is this?
lol kwahio wakivua nguo ndo watajitokeza hao waoaji?hawa wana wake wa uganda wameandamana wanataka wanaume wa kuwaoa
Msisitizo anaotoa afande ni tofauti na macho yake yalipoelekea!
Hao ni WaGanda waliandamana kupinga "kunyanyaswa kwa mwanamke" kampala mwaka jana.
Hao ni WaGanda waliandamana kupinga "kunyanyaswa kwa mwanamke" kampala mwaka jana.
Kumbe serikali ina jinsia ya kiume! Ndio maana wana andamani ili waolewe!
Ilitokea Nigeria, hapa ni Uganda! Vipi TZ wadada mumejipanga vipi!🙂🙂
Naona afande anasita kupeleka kamkono mbele.........