UchokoNOzii

UchokoNOzii

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,459
Reaction score
872,119
1421735030109.jpg
 
waislamu hawa

Kigogo unataka kulianzisha eeh

inaitwa sunna

kushika mara moja si shida kurudia kushika shika ndiyo tabu

Sio kila mvaa kanzu au Hijabu ni Muisalamu. Msikariri. Na katika Waislamu wapo mafirauni pia kama walivyo katika Dini nyingine. Tatizo ni kwamba Uislamu unakemea mwanzo mwisho, wakikukamata wanakuchinja, Dini nyingine wanakufungisha mpaka ndoa Katika majumba yao ya ibada ukaliwa vizuri. Rukusaa!
 
nisiseme ila ukweli unaujua wewe mwenyewe
 
Sio kila mvaa kanzu au Hijabu ni Muisalamu. Msikariri. Na katika Waislamu wapo mafirauni pia kama walivyo katika Dini nyingine. Tatizo ni kwamba Uislamu unakemea mwanzo mwisho, wakikukamata wanakuchinja, Dini nyingine wanakufungisha mpaka ndoa Katika majumba yao ya ibada ukaliwa vizuri. Rukusaa!
MZIMU naomba hii post tusiigeuza kwenye mlengo wa kiimani, najua kuna mahali Kigogo kapotoka lakini haina maana tukoleze mafuta kwenye moto
 
Last edited by a moderator:
anapima kama jamaa anaweza kubana kimba
 
Hivi huyo maamey kimbunga chote hicho yuko kimya wala kushutuka au ana jisikia raha teli kwa teli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom