hapo ni kwenda tu sokoni kununua viungo elekezi,unapitia buchani unachukua nyama kilo moja (ile yenye mifupa kidogo ndo inafaa),bila kusahau coca bonge.unawapigia na washkaji wawili watatu,unawaambia leo machalarii kama tuko rombo vile.