Uchizi wa wajapan

IrDA

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2010
Posts
745
Reaction score
361
Wenzetu wameendelea,wanaanza kuvumbua vituko...Hebu cheki hizi picha



Mto wa kulalia wenye mkono wa mwanaume


Kofia yenye kitambaa cha kujifutia makamasi


Butter iliyo mfumo wa gundi


Huitaji kuangaika kushika ukiwa umesimama kwenye basi


Feni ya kupuliza chakula ikiwa kwenye kijiko


Hapa dawa iya machonawekwa kama mafuta ya taa


Hapa hakuna kuloa popote,hata inyeshe mvua ya mawe

Ni hayo tu wadau
Orginal post by
http://mafiakisiwani.blogspot.com
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…