Juzi nimepita uyole mbeya nimekuta pale kituo cha polisi kuna mvurugano kati ya dereva wa gari na polisi.
Gari iliandikwa nyuma,Kichaa kapewa rungu.Maneno hayo ndo yameleta timbwili.Dereva aliambiwa afute maneno hayo kuwa hayaleti maana nzuri.Ukizama kisheria dereva hana kosa ijapo walifuta.Hata mahakamani ingetokea wakaulizwa maswali wamlete kichaa aliyepewa rungu hawawezi.Ukweli lugha ya picha ni hatari.