Uchepukaji salama

Uchepukaji salama

Namba yake usiisave kwa jina lolote liwe la kike au la kiume unatakiwa kuikariri kichwani tu
 
Kuchepuka Kwasiye Vidume Ni Lazima Kwasababu Ya Wake Zetu
 
7. Epukeni kutembelea sehemu 1 mara kwa mara, mf hotel ama guest

8. Epukeni ww na mchepuko wk mambo yoooote yanayoitwa "SURPRISE "

9. Hakikisha marafiki, ndg na jamaa hawaujui mchepuko wk

10. Msipendeleee kukutana maeneo ya halaiki, mf kariakoo kwa dsm

11. Msitembee kwa miguu umbali mrefu, hasa maeneo yenye waenda kwa miguu wengi!

12. Jiepushe na zawadi za aina ya "physical objects"
mf nguo, viatu, saa, ni hatari sana!
 
very satanic.! nilitegemea ungekuja na msaada wa kuepuka hiyo michepuko! cha kusikitisha na nakushangaza zaidi ni hapo unapohalalisha kuwa suala la "uchepukaji" haliepukiki..!! nani kakudanganya? hauwezi kuwa salama wewe... Wonders Shall Never End
 
Wazo la kuwekeza kwa wake zetu ni zuri ila chukulia mkewe kakeketwa na u lipoonja ambaye hajakeketwa ukachanganyikiwa!Hapo utafanyaje mkewe aweze kuziba hilo pengo?
Mbali na hilo mkeo mwembamba sana na umeonja mnene utamnenepesha au mnene umeonja mwembamba utamkondesha ni ngumu hii
 
Back
Top Bottom