Suala la uchepukaji limekuwa haliepukiki na limekuwa changamoto kwa watu wengi. Sishauri sana ila kama imekulazimu kuchepuka chukua tahadhari zifuatazo uwe salama;
1.Uwazi: Uwe wazi kwa huyo unaemchepukia kwamba una njia kuu(mke)na anapaswa kumuheshimu
2.Muda wa mawasiliano: Kamwe asikupigie simu usiku kuanzia saa kumi na mbili kuendelea na ikibidi wewe ndo unapaswa kuchokoza mawasiliano na si yeye
3.Frequency ya mawasiliano: Msipende kuwasiliano hovyo hovyo kwani risk yake ni kubwa
4. Message: Msipende kutumiana sms za mapenzi na kama italazimu futa the moment unamaliza kusoma
5.Usipende kumwambia mchepuko madhaifu ya mkeo kwani ni hatari sana na hujui atayatumiaje?
6.Wivu: Ule ni mchepuko na huna mpango wa kumuoa sasa akitoka na mtu mwingine wivu wa nini?Hiyo haijatulia
Uchepukaji si vizuri ila ikilazimu...karibuni wengine kwa michango zaidi